Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huku kwangu imebaki moja naomba shule nijipangaje?
 

Kaka unatumiiza macho dah, mwandiko gani huu?

Au haukusoma somo la Imla primary?
 
KARIBU MRUSI EMPIRE – JIUNGE NA KAMPUNI BORA DUNIANI!


Sasa unaweza kuweka na kutoa pesa kwa urahisi kupitia mitandao yote ya simu kama Airtel, Tigo na wengineo – bila wakala! Jiunge na 1XBET, kampuni inayoongoza duniani kwa odds bora na huduma za kimataifa.


Jinsi ya Kujiunga Haraka na Rahisi:


1. Bofya Link ya Usajili:

Bofya Hapa


2. Chagua "In One-Click" kwenye ukurasa wa usajili, jaza taarifa zako za msingi.


3. Ingiza Promo Code: "Zawadi" ili upate bonasi ya kipekee baada ya usajili.


4. Utapokea ID na Password za kuingia kwenye akaunti yako. Ziweke salama!


5. Anza Sasa! Log in, weka pesa kupitia Airtel, Tigo au mitandao mingine, na ufurahie huduma za kampuni namba moja duniani.


Pakia App ya 1XBET kwa Android au iOS:

Download Hapa


Kwa Nini 1XBET?

- Huduma za kimataifa zinazoongoza

- Uweka na kutoa pesa kwa urahisi

- Bonasi za kipekee kwa wapya
 
Huku kwangu imebaki moja naomba shule nijipangaje?
Huo mkeka uliobakisha mechi moja hata mimi ninao ..hapo uwezi kutumia hiyo ELIMU NILIYO TOA NA UKAWA NA UHAKIKA WA KULA KWA ASILIMIA 100% ..kwa sababu ukitazama hiyo mechi moja iliyo baki ni BB yani ina machaguo ndani yake tena namna yalivyo kaa ni ngumu kupin ushindi. Vinginevyo usuke mikeka 3 kila mmoja huwe unajitegemea kufiti reverse ya hizo option 3 ..
CHAKUFANYA HAPO NI KUTOA SADAKA YA KAMA SH 15,000 YAANI SUKA MIKEKA MI 3 KILA MMOJA TIA SH 5000 kufiti hizo option 3 kama hivi pichani ..japo ukuniambia umecheza huo mkeka kwa kutia sh ngapi..
TUMA SCREENSHOT YA HIYO MECHI NA PESA ULIYO CHEZA NA UTAKAYO KULA NDIYO NITAWEZA KUKUTAJIA KIASI UTAKACHO CHEZEA HIYO MIKEKA MITATU
 

Attachments

  • Screenshot_20261018-103552_SportyBet.jpg
    77.3 KB · Views: 7
Si kweli, kwa ligi za mbele ni ngumu sana .
Huku mchangani inawezekana na Haina athari yoyote
Kwa ligi za huku mchangani hata mchezaji au refa afanye udanganyifu haina athari kubwa kwa sababu bookie washalijua hilo ndio maana
1. Wanalimit kwenye stake ili usiwaumize pakubwa ukipata mwanya wa udanganyifu,
2. Option ambazo mchezaji mmoja au mtu mmoja anaweza kufanya ujanja na kula hela hawaweki kabisa wanajua waafrica hatuna uadilifu, kuuza utu wako kwenye swala la hela hatuoni kazi kabisa.

Mfano hizi option chache tu hutakaa uzione kwenye ligi ndogo kama zetu kwa sababu kufanya udanganyifu kwa mtu mmoja mmoja ni rahisi sana.
1. official added time (watu wawili wanaweza kubadilisha upepo na kula hela)
2. Goal keeper to touch the ball dakika 1 ya kwanza- kufanya udanganyifu ni rahisi sana mnakubaliana hata timu zote kwamba atakayepata mpira tu arudishe kwa kipa mle hela wote dakika ya 1 tu.
3. Medical team to enter the pich 1H au 2H-hapo ukiguswa mguu kidogo tu unalala chini mpka kitanda kiingie
4. first sub itokee 1H- hii refa peke yake au mchezaji peke yake anaweza kubadilisha upepo na kula hela
 
Mimi naamini nguvu ya ziada inatumika zaidi demonic power za Asmodeus and mammon.
Hata wachezaji wenyewe hawaamini muda mwingine yanayotokea uwanjani , mtu yupo na goli Bila Kipa na Bado anapiga nje.
Ubashiri ni mchezo wa bahati usiweke mambo mengi sana utakua unashinda kila siku pia usiweke mechi nyingi,na mwisho treat betting kama sehemu ya kujifurahisha isiwe sehemu ya kutafutia kodi,ada,mtaji nk utaumia vinaya mno wewe chukulia kama unajifurhaisha ila ndiyo unapata na saa ingine unapoteza iwe sawa tu kwako utainjoi sana
 
Safi kazi nzuri umesuka vyema sana
 
Provided mechi iwe imebaki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…