Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Kula chumaaaaaaaaaaa..... Unaweza kuamua wewe .... Uchanganye zingine Cha kwanza zingine Cha pili... Ila hii option inatoa sana kwa mechi zenye odds ya 1.7 kushuka chini sababu mmoja anakuwa na uwezo sana wa kushambulia kuliko mwenzake. Nimewapa chaka lingine linalonipaga hela ndogondogo za odss 1.5 hapa mechi 4-5 unapata odds 1.5 wale wa Roll-over hii inawafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…