Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naskia wanaweka 5m kila siku sio kwa mkupuo sijui kama ni kweli au la, ila niliwahi kuskia hiyo kitu mzee baba.

Pesa ni yote,ila kutoa NDIO utatoa million 5 kwa transaction

Ila watakutaarifu Ili mfumo wa Bank transfer ufanyike

Maana hata wewe huwezi kuacha pesa yote kwenye mtandao wao kirahisi🤣🤣🤣🤣
 
Pesa ni yote,ila kutoa NDIO utatoa million 5 kwa transaction

Ila watakutaarifu Ili mfumo wa Bank transfer ufanyike

Maana hata wewe huwezi kuacha pesa yote kwenye mtandao wao kirahisi🤣🤣🤣🤣
hakuna masharti yoyote maana nasikia kama una akaunti zaidi ya moja hupati kibunda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…