Mfano
Arsenal Vs Man City
Ukitumia double chance itakuwa hivi kama utabiri wako
Arsenal atashinda mechi au sare unaweka/inajazwa hivi [1X] yaani timu ya nyumbani itashinda au watatoka sare. 1 inawakilisha timu ya nyumbani itashinda na X inawakilisha sare
Arsenal Vs Man City
Man City atashinda mechi au watatoka sare inakuwa [2X].. Hapo kwenye 2 inamaanisha timu za ugenini itashinda na X sare
Timu zote zitatoka sare mf. 0-0, 1-1, 2-2.... inakuwekwa X au 12
Hii ndo double chance
1X Home team win or draw
2X Away team win or draw
X 12 Both team draw
vipi redcard huiweki. Yani kuibetia kuikataa red
vipi redcard huiweki. Yani kuibetia kuikataa red
Naona waathirika wa uamuzi huu ni wale wale wakina pangu pakavu...kama walikuwa na haki ya kuuziwa sioni sababu ya kunyang'anywa, kama sababu ni za usalama basi waanze kuwajibishwa wale walioidhinisha uuzwaji huo kabla ya kuwaadhibu wanunuaji.

Ebana hyo ni meridian au? Nimeiangalia vizur kumbe unaeza kupga pesa asee, kwahyo ikiwa 4.0 ndo yelow cards ziwe chin ya 4 au?
Nipo majaribioni kwa mechi 21 hadi next wiki kwa jero tu basi. Baadae nitaweka timu tano kwa buku 5... Tamaa mbaya kati ya mechi hizo 21 na moja wapo anaweza chana chana mkeka wote
Dah, Hii game ya US na Lithuania inatia pressure sana. yaani wanafungana taratiiiibu. Hawajui watu tumeweka mzigo huku.?
CC: Biohazard
niliweka mchana mkeka wa double chance.....sasa kabaki lugo na alcoron tu wasitoe sare.
game yako naichek live hapa game haina presha kabisa
Nimeisha tayari naomba nirudi kwenye michezo yangu ya Both team to score.
nimeichek lithuania kazingua sana mipira ya penat yan wamekosa sana
Nimeisha tayari naomba nirudi kwenye michezo yangu ya Both team to score.