Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Upo mitaa gani boss.? Unatumia net ya mtandao gani .?

Niko Mbezi Beach Jangwani huku, huwa natumia smile ila usiku tu, mida mingine ni tigo ambayo iko slow hata mtu akiwa ananipigia simpati
 
uliweka mzigo? Kwa over

Yaani mkuu hapa shangwe tuu, yaani katoa booonge la over. Nilianza na buku 30 ila now nataraji akaunti itakuwa na laki mbili na nusu. Maana nilikuwa nabet over za kila quater ambazo zote katoa. Now nasubiria over ya quater ya nne tuu nilale kwa raha mustarehe.
 
tayar ya 4 imetoa
 
tayar ya 4 imetoa

Yap, nimenusurika chupuchupu. Niliweka OU 48.5 kwa quater ya nne na game imeisha point 49. Duu, na hii ndio nimejilipoa haswa. Niliweka buku 80 katika quater hii ya nne pekee. Heheehe

Halafu mbona hii quater ya mwisho imewahi kuisha hivi.? Kwani quater huwa ni dk ngapi.?
 
navojua mie kila quater ni dk 12. Kwan kila quater ilikua over ngapi? Na odds zilikuaje
 
navojua mie kila quater ni dk 12. Kwan kila quater ilikua over ngapi? Na odds zilikuaje

Mimi ninavyochezaga huwa naona quater inachukua dk 20 mpaka 25.

Mwanzo wa mechi quater zote zilikuwa OU 45. Nikaweka mzigo katika quater ya kwanza. Mzigo ukatik. Walivyonipa pesa yangu nikaweka quater ya pili. Ukatik. Kufika half time quater ya tatu ikapanda ikawa OU 47.5 nikaweka Ikatik. Nikachukua buku 80 nikaweka quater ya nne kwani nayo ilipanda kuna wakati na kuwa OU 48.5 mchezo kuisha ndio kama hivyo. Mwisho wa siku nina faida ya 220K
 
du? Hongera sana. Katika basket dk 12 za quarter zinahesabisa tu mpira unapochezwa. Kama mtu kaumia, penat inapigwa, hapo saa inasimamishwa. Tofauti na soka
 
du? Hongera sana. Katika basket dk 12 za quarter zinahesabisa tu mpira unapochezwa. Kama mtu kaumia, penat inapigwa, hapo saa inasimamishwa. Tofauti na soka

Leo na mimi nimewabamba kwenye angle theta , maana siku ile ya USA na Lithuania waliniperemba buku 50 yangu.
 
tufunzane jamani jinsi ya kubet kwani ninapenda sana ila sijui jins ya kucheza.
 
Leo na mimi nimewabamba kwenye angle theta , maana siku ile ya USA na Lithuania waliniperemba buku 50 yangu.

siku ile lithuania ndo alizingua kila penat wanakosa hadi game ikakosa ushindani ikabid USA acheze show off.
 
Msaada tafadhali wakuu meridian online nmesajili na email yao nmepata ila kila napojarb ku login inaonesha player not found.... naomba kuelekezwa jinsi ya kujisajili.....
 
Msaada tafadhali wakuu meridian online nmesajili na email yao nmepata ila kila napojarb ku login inaonesha player not found.... naomba kuelekezwa jinsi ya kujisajili.....

Wapigie simu uwaambie. Watasolve hiyo issue

Namba zao hizo hapo.

Name: Meridian
Tel1: 0754303032
Tel2: 0683529544
Tel3: 0652470608

Hiyo ya voda ndio responce inakuws ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…