Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
odds zimekaaje kiujumla
Upo mitaa gani boss.? Unatumia net ya mtandao gani .?
Niko Mbezi Beach Jangwani huku, huwa natumia smile ila usiku tu, mida mingine ni tigo ambayo iko slow hata mtu akiwa ananipigia simpati
asante C.E.O umenipa idea, j4 nachanganya uefa na rafiki zangu wa uingereza...
mapemaaa
Over 176
uliweka mzigo? Kwa over
Yaani mkuu hapa shangwe tuu, yaani katoa booonge la over. Nilianza na buku 30 ila now nataraji akaunti itakuwa na laki mbili na nusu. Maana nilikuwa nabet over za kila quater ambazo zote katoa. Now nasubiria over ya quater ya nne tuu nilale kwa raha mustarehe.
tayar ya 4 imetoa
Yap, nimenusurika chupuchupu. Niliweka OU 48.5 kwa quater ya nne na game imeisha point 49. Duu, na hii ndio nimejilipoa haswa. Niliweka buku 80 katika quater hii ya nne pekee. Heheehe
Halafu mbona hii quater ya mwisho imewahi kuisha hivi.? Kwani quater huwa ni dk ngapi.?
navojua mie kila quater ni dk 12. Kwan kila quater ilikua over ngapi? Na odds zilikuaje
Mimi ninavyochezaga huwa naona quater inachukua dk 20 mpaka 25.
Mwanzo wa mechi quater zote zilikuwa OU 45. Nikaweka mzigo katika quater ya kwanza. Mzigo ukatik. Walivyonipa pesa yangu nikaweka quater ya pili. Ukatik. Kufika half time quater ya tatu ikapanda ikawa OU 47.5 nikaweka Ikatik. Nikachukua buku 80 nikaweka quater ya nne kwani nayo ilipanda kuna wakati na kuwa OU 48.5 mchezo kuisha ndio kama hivyo
du? Hongera sana. Katika basket dk 12 za quarter zinahesabisa tu mpira unapochezwa. Kama mtu kaumia, penat inapigwa, hapo saa inasimamishwa. Tofauti na soka
Leo na mimi nimewabamba kwenye angle theta , maana siku ile ya USA na Lithuania waliniperemba buku 50 yangu.
tufunzane jamani jinsi ya kubet kwani ninapenda sana ila sijui jins ya kucheza.
Msaada tafadhali wakuu meridian online nmesajili na email yao nmepata ila kila napojarb ku login inaonesha player not found.... naomba kuelekezwa jinsi ya kujisajili.....