Aseee Azam wamechanganya game badala ya kuonesha ya live wameonesha marudio nadhan na imeanza saa tisa. Am sorry sana wala sikua na maana iyo uliyochukuliaww jamaa fala sana
ww jamaa fala sana
View attachment 417423 Fuata nyuki ulwe, dude jingine hilo Odd 385
Katika pita pita zangu kujiandaa na weekend, nimekutana na hizi mechi za hawa waarabu (Kuwait Premier league) na zimenishangaza kidogo. Iweje timu zilizoanza vzr kwenye ligi yao zipewe odds nyingi hivi? ... au kuna mtego ambao sijauelewa?
Nimelazimika kujaribu hii ... wenda Kanji kajisahau systems zake zimeweka odds vice versa ... hahaha
View attachment 417457
Site gani hiiView attachment 417423 Fuata nyuki ulwe, dude jingine hilo Odd 385
Hiyo ni meridian. link: meridianbet.co.tzSite gani hii
ulipotea mkuuAtleticog win
Palmera win
CSKA mosco to score
NimeionaHabarii wazee wa kuweka mizigo. Ebana m-bet uki WIN au uki LOST inakuonyesha wapi?
Kibox cha kwanza timu ya nyumbani ishinde mechi.wakuu mi naombeni ufafanuzi maake naona namba tu!! ( SIJUI KUBET)
View attachment 417604
Thanx mkuuu!!!!!!!!!!!!!Kibox cha kwanza timu ya nyumbani ishinde mechi.
Kibox cha pili meshi iwe suluhu (draw 0-0, 1-1, 2-2).
Kibox cha tatu(cha mwisho) timu ya ugenini ishinde mechi.
Bet WON.Ngoja nijaribu inplay.
View attachment 417567