Snipercorp na rockcity naomb mnielewexhe meridian ukideposit inachukua muda gan mpaka waniweke kwny akaunt yang nme2mia M Pesa
wazee wenzangu wa mikeka nilikuwa na wazo kuwa umoja ni nguvu kwann tusiwe na tamaduni ya kila mtu ataje timu zake kadhaa ambazo ana tumain nazo kubwa kuwa zitashinda.Then mtu anachagua kwa kila mtu chache[dunduliza] nadhan inaweza kusaidia sana kuepukana na balaa la timu 1 au mbili kuharibu mkeka.
mkuu mm nazoziamini ni everton,roma,benifica,porto,psv,shaktar donetsk,celtic,Astra giurgiu,ventspils,salzburg,totenham,airbus[wales],chama langu messi fc,debrecen,viktoria plzen,sparta praha,pfc ludogorets,amcab tel avivi.
mkuu mm nazoziamini ni everton,roma,benifica,porto,psv,shaktar donetsk,celtic,astra giurgiu,ventspils,salzburg,totenham,airbus[wales],chama langu messi fc,debrecen,viktoria plzen,sparta praha,pfc ludogorets,amcab tel avivi.
anzisheni group la watsaap wakuuu tuwe wakubet group