anzisheni group la watsaap wakuuu tuwe wakubet group
Watu inakuwaje mwaweka Man U mie nishamuacha.
Totternham nae bye bye
Network ya Tigo huku ninapokaa inasumbua kweli kweli, Nimejiunga meridian leo baada ya kuona jamaa kashinda kwa red card na penalty.
huku meridian unaangaliaje ticket?
cjui nitapiga
Good luck mkuu wengine tushapulizwa, tunaugulia hapa
hahahahahaaa ndugu umenifurahisha saaaana!! π π π
hapo kwa PSG kukiwa na Red Card ujue tumekufa wotecjui nitapiga
Hivi kati ya jana na leo ipi majanga sana
hahahaaa mi naona hakuna afazali zote sawaaa tuu :lol: :lol: