hii haipo meridian...ipo iplay8, unaweka gem ambazo hakutakua na goli katika dakika kumi za mwanzo! hii haitaji kusubir sana....unasikiliza nyimbo zako mbili, zikiisha...unacheki kama shimo limetema!!
hii ukiweka gemu ka nne (nashauri maximum iwe 5 games ziwe tano) ivi, almost unadouble kiasi ulichoweka....kwaiyo unahitaj dau kubwa kidogo.... success rate ya hii option sio mbaya saaana
mi mwenyewe ndio nashangaa yaani, nimejiunga juzi ila dizaini naona kama wamekaa kitapeli tapeli..
usihofu ndugunitaweka, lakini shout out kwa xyz123 ndio nilicopy kwake mech nyingi..
anhaaa...nenda kwenye todays football matches (au directly kwenye league husika) pale ukikuta list ya mechi.....cheki mechi zenye option nyingi, hizi ni zile gemu zenye +49, +50 nakuendelea.....alaf unabonyeza icho kinamba....usiende kwenye gem zenye number chini ya +49.....option inaitwa First Ten Minutes 3 WayI option mkuu inaitwaje maana nimechek iplay8 sijaiona..
Mkuu hongera sana kwa kumpasua kanjibai. Mimi niloteza mkeka wangu, AC milan aliniulia mkeka. Jamaa kaenda kulikurupua likadi jekundu dakika ya 87. yaani kanikiera kweli aisee. Ila siachi, Mpaka nimpasue, I am sure i will hit him where it hurts.
View attachment 188052
ngoja niutandike mkeka mwingine hapa wa kumpasua kanjibai.
Wakuu mechi ya Fiorentina ilikuwa na penalty au ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hii option ya redcard inapatikanaje ktk meridian
Mkuu hongera sana kwa kumpasua kanjibai. Mimi niloteza mkeka wangu, AC milan aliniulia mkeka. Jamaa kaenda kulikurupua likadi jekundu dakika ya 87. yaani kanikiera kweli aisee. Ila siachi, Mpaka nimpasue, I am sure i will hit him where it hurts.
View attachment 188052
ngoja niutandike mkeka mwingine hapa wa kumpasua kanjibai.
kwa simu haiwezekani...labda mkeka wako uwe mfupi......ukitaka full tumia PCNdugu hivi ukitaka mkeka wako uonekane wote kama huu wako unabonyeza wapi, sababu kule kwenye kusearch tickets unatoka nusu nusu tu inakua vigumu kupiga picha na kuweka humu..
Leo red card meridian zipo mechi 3
jaman leo hakuna mikeka
Wakuu habari..naomba kujumuika nanyi mi investor kama nyinyi sema sio wa mda sana.
Basi meridian wameniua mkeka wangu wa no penalty halafu kwa fiorentina tu ndo nimekosa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
karibu kilingeni hapa ndo home of great investorz where we dare to risk fearlesly
usikate tamaa ndugu ipo siku utatoboa..
hahah imetulia saaana hii "Where we dare to risk fearlesly"
hahaha...where sea never drysi unajua tena kilinge bila slogan hakinogi