Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii haipo meridian...ipo iplay8, unaweka gem ambazo hakutakua na goli katika dakika kumi za mwanzo! hii haitaji kusubir sana....unasikiliza nyimbo zako mbili, zikiisha...unacheki kama shimo limetema!!

hii ukiweka gemu ka nne (nashauri maximum iwe 5 games ziwe tano) ivi, almost unadouble kiasi ulichoweka....kwaiyo unahitaj dau kubwa kidogo.... success rate ya hii option sio mbaya saaana

I option mkuu inaitwaje maana nimechek iplay8 sijaiona..
 
mi mwenyewe ndio nashangaa yaani, nimejiunga juzi ila dizaini naona kama wamekaa kitapeli tapeli..

usihofu ndugunitaweka, lakini shout out kwa xyz123 ndio nilicopy kwake mech nyingi..

Mkuu hongera sana kwa kumpasua kanjibai. Mimi niloteza mkeka wangu, AC milan aliniulia mkeka. Jamaa kaenda kulikurupua likadi jekundu dakika ya 87. yaani kanikiera kweli aisee. Ila siachi, Mpaka nimpasue, I am sure i will hit him where it hurts.

ka.JPG

ngoja niutandike mkeka mwingine hapa wa kumpasua kanjibai.
 
I option mkuu inaitwaje maana nimechek iplay8 sijaiona..
anhaaa...nenda kwenye todays football matches (au directly kwenye league husika) pale ukikuta list ya mechi.....cheki mechi zenye option nyingi, hizi ni zile gemu zenye +49, +50 nakuendelea.....alaf unabonyeza icho kinamba....usiende kwenye gem zenye number chini ya +49.....option inaitwa First Ten Minutes 3 Way
 
Mkuu hongera sana kwa kumpasua kanjibai. Mimi niloteza mkeka wangu, AC milan aliniulia mkeka. Jamaa kaenda kulikurupua likadi jekundu dakika ya 87. yaani kanikiera kweli aisee. Ila siachi, Mpaka nimpasue, I am sure i will hit him where it hurts.

View attachment 188052

ngoja niutandike mkeka mwingine hapa wa kumpasua kanjibai.

Hii option ya redcard inapatikanaje ktk meridian
 
halafu wazee wenzangu wanaotumia simu, tuliokuwa tukilalamikia ishu ya network, kwangu mimi nimeisolve somehow, now n aona oko sfi kiasi chake ingawaje inasuasua hapa na pale. Ninatumia browser moja inaitwa Baidu instead ile inayokuja moja kwa moja na simu ( hii ni kwa wale wenye simu zenye platform ya android) .

So just ingia google play na search for Baidu browser. hope you will experience the difference.
 
Wakuu mechi ya Fiorentina ilikuwa na penalty au ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu hongera sana kwa kumpasua kanjibai. Mimi niloteza mkeka wangu, AC milan aliniulia mkeka. Jamaa kaenda kulikurupua likadi jekundu dakika ya 87. yaani kanikiera kweli aisee. Ila siachi, Mpaka nimpasue, I am sure i will hit him where it hurts.

View attachment 188052

ngoja niutandike mkeka mwingine hapa wa kumpasua kanjibai.

Ndugu hivi ukitaka mkeka wako uonekane wote kama huu wako unabonyeza wapi, sababu kule kwenye kusearch tickets unatoka nusu nusu tu inakua vigumu kupiga picha na kuweka humu..
 
kwa simu haiwezekani...labda mkeka wako uwe mfupi......ukitaka full tumia PC
 
Basi meridian wameniua mkeka wangu wa no penalty halafu kwa fiorentina tu ndo nimekosa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Basi meridian wameniua mkeka wangu wa no penalty halafu kwa fiorentina tu ndo nimekosa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

usikate tamaa ndugu ipo siku utatoboa..

karibu kilingeni hapa ndo home of great investorz where we dare to risk fearlesly

hahah imetulia saaana hii "Where we dare to risk fearlesly"
 
Back
Top Bottom