Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Ukiwa unahitaji msaada wowote kwenye kubet wasiliana
na professor Makampuni, mtaalamu wa kubet namba yake
ni 0755 520 584
Acheni hizo, hapo kuna mtu atalizwa si muda mrefu!
Boflo wewe jamaa kashawahi kukusaidia? Umetoka?
Unaonaje timu atakazokuwa anakutabiria ukishare hapa ili tufanye assessment na sisi tumwamini?
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa
Jamani leo
Benfica, Zenit, Real, Juventus, Arsenal
Ushauri unahutajika kabla sijaweka hela yangu ila hizi ndio timu nitazowapa
hiv landbrkr unaweza deposit/withdraw pesa via m-pesa au tigopesa n.k ?ingia ladbrokes.com ukishafanya registration ntakuelekeza jinsi ya kudiposite na how unawza pata bet card
hiv landbrkr unaweza deposit/withdraw pesa via m-pesa au tigopesa n.k ?
Naona game hizi znatoa GG
Zenit vs Monaco
Madrid vs juve
Basel vs liver
Lever vs Benfica
Wacha mi ni take risk kwa game hizi..
Je wakuu mnaonaje.
Dortmund anarusuhu sana magoli ila sina uhakika na striking force ya Anderletch..
Nkitaka dfrence ya one goal meridian naweka ipi?? Maana naona handicap optionz chungu nzma had znachanganya
mbona kwenye iplay8 mechi ya Chelsea mbona hawajaiweka?
So leo nitulie eeeh?