Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Arsenal WIN,Zenit WIN,Atletico Madrid DRAW,Real Madrid 3+,Liverpool GG
 
Hivi wakuu huyu meridian tunatatua vipi tatizo lake la network error kwa sisi wadau wa online..?
 
Atletico Madrid vs Juventus..... GG
Malmo vs Olympiakos................ Olympiakos
Basel vs Liverpool.......................GG
zenit vs Monaco......................... Zenit
Bayern Leverkusen vs Benifica.....hii sijuwi,
Anderlech vs Borussia Dortmund......Dortmund
Arsenal vs Galatasaray....................Arsenal

kazi kwenu wazee wenzangu, leo biashara italipa.....
 
Hivi wakuu huyu meridian tunatatua vipi tatizo lake la network error kwa sisi wadau wa online..?

nadhani huyu meridian anafanya makusudi tu kuuminya mtandao wake uwe slow, hili tatizo lilikuwa linajitokeza sana sana siku za weekend sababu ya wingi wa match ila sasa hivi naona ni kila siku!!
 
nadhani huyu meridian anafanya makusudi tu kuuminya mtandao wake uwe slow, hili tatizo lilikuwa linajitokeza sana sana siku za weekend sababu ya wingi wa match ila sasa hivi naona ni kila siku!!

mkuu samahani,namba yako ya simu inaishia na 262?naisi nakujua....
 
Naufuata huu.. who knows
 
Mkuu ukituelekeza jinsi ya ku deposit na kutoa pesa Ladbrokes baada ya usajili itakuwa vyema sana, mimi tayari nimesajili nimekwama kwenye deposit na jinsi ya kufanya withdraw maana sitaki kutumia credit card yangu.
 
Hata mimi tiyari ngoja aje atupe mlolongo mzima
 
Hata mimi tiyari ngoja aje atupe mlolongo mzima

ukishajiunga unaingiza betcard ni namba flani kama vocha za simu kuna za 10$ 20$ paka 100$ ukishaingiza unaanza kucheza naykishapiga hela unaenda pale new afrika casino unatoampunga wako
 
Zenit kaua mikeka kama milioni mia duniani

Mkuu kwa mfano,nimeweka mkeka wangu na TOTAL STAKE USD ni 0.60 na calculate vipi ili nijue nitapata mpunga kiasi gani kabla sijaweka Dau langu ila nipo Iplay8casino,

Tafadhali mkuu nisaidie
 
ukishajiunga unaingiza betcard ni namba flani kama vocha za simu kuna za 10$ 20$ paka 100$ ukishaingiza unaanza kucheza naykishapiga hela unaenda pale new afrika casino unatoampunga wako

OK mkuu sasa ukiingia kwenye deposit unakuta options 3 hizi hapa chini, ukiclick hiyo ya kwanza inakupa credit na debit options na hiyo pop up hapo chini, sina hakika kama hapa ndio tunajaza hizo info za hiyo bet card voucher, na pia hizo card tunapata wapi mkuu.
 
Attachments

  • 1412187064339.jpg
    30.2 KB · Views: 68
  • 1412187096778.jpg
    24.5 KB · Views: 69
Mkuu kwa mfano,nimeweka mkeka wangu na TOTAL STAKE USD ni 0.60 na calculate vipi ili nijue nitapata mpunga kiasi gani kabla sijaweka Dau langu ila nipo Iplay8casino,

Tafadhali mkuu nisaidie

kwa kawaida unazidisha odds iliyopo na kiwango unachotaka kuweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…