Watu 150 TUU
Tujiunge kwenye Group moja
La telegram ili tujumuikeni kwa
Kupeana mikeka na tips kabla ya game kuanza
Na tuwe online kwa notification
Usiwe ni mtu wakutegea na kutabiri ubovu
Kama una nyota ya punda
Usitake tukuadd
+255719173441
mi naona huu mchezo ni bahati zaidi kuliko mbinu ndio maana unaweza kuweka timu moja ukaliwa na mwingine akaweka tisa akala
Mi bado nafikiria ule mpunga aliopiga floyd myweather ulivojaa kitandani
Mi bado nafikiria ule mpunga aliopiga floyd myweather ulivojaa kitandani
Hiii hapa ya saa ✋
Alibet akashinda au?
alitupia mzigo mwingi kule ktk ligi ya NFL akala bingo ya kutosha