Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani nani hapa amewahi jiunga na bet365.com?
Mi nipo huko kwa sasa inplay yao iko fast sana meridian anasumhua sana
 
Jamani nani hapa amewahi jiunga na bet365.com?
Mi nipo huko kwa sasa inplay yao iko fast sana meridian anasumhua sana

Aisee, nitajiunga huko. Ngoja nifanye taratibu za kufungua acc CRDB yenye VISA. Sitaki ichangamane na acc ya mshahara!
 
Germany vs R.ireland (HW2)
Serbia vs Albania (final result 1)
Poland vs Scotland (final result 1)

Ukiweka 50000 = 391000
 
Most probable cases kwenye Basketball hizi hapa:-

1. Kuamkia Ijumaa (17 Oct), game ya OKC vs New Orleans weka Over (Points)

2. Denver vs GSW weka over pia usiku huo huo. (Hii unaweza kuwapa GSW +P)

3. Kuamkia Jumamosi (tar 18 ) game ya Dallas na Cleveland weka over. alfajiri

NB; Option 1 na 2 unaweza kuweka hata nyumba (Hapa namaanisha mtaji wote), ila option 2 weka hela ya nyanya.
 

Mzee mwenzangu hizi basket huwa zinachezwaje manake nikita kuzicheza huwa naona maluweluwe tu!
 
<p>
Mzee mwenzangu hizi basket huwa zinachezwaje manake nikita kuzicheza huwa naona maluweluwe tu!
Pitia hii post ya Mzee Going Concern:- Kuongezea; Mfano game ya Miami na OKC, wanaweza wakasema total points ziwe over/under 200.5, ukichoose over inamaana points zikiwa zaidi yaani 201 ndo unashinda, vivyo hivyo kwa under!</p>
 
Last edited by a moderator:
Dahhhhh itabidi niwe nafwatilia kikapu
Ila mshika mawili moja humponyoka........?
 
Ila bado naona football ikinilipa zaidi
Hicho ambacho sikijui na hakiko kwenye damu acha niwaachie nyie
Nisije jaribu nikajutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…