Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku. Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under.... Mfano currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter) Real Madrid..... 45 Barcelona........ 40 therefore the total points is 85 (45+40) then chukua 160-85= 75 75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )