Jamani eeh msisahau kumpa helas verona
leo nimewapa Marseille,cruzeiro,liva,bordeaux,valencia na atletico madrid.....tayari Marseille,athletico na liva washashinda....nimeweka 4000 nipate 75000
Du leo kazi ipo ngoja nijaribu vilareal
valencia leo kachana mikeka zaidi ya mirioni ya pipoz
wakuu mbona mnalalamika sana humu , wakat mi natengeneza almost kila siku $10+, na wikiendi around $30.mambo yakikaa fresh soon (yaani mtaji ukifikia level ninayotaka mimi) siku za kawaida ntakua natengeneza $20+ na wikiends $60 au zaid coz gemu huwa ni nyingi, sema ubize unaniangusha sometimes......
Hilo ndio jambo la msingi... Ila buku kwa laki utapata ukichaa bure
Tokea nimehama Meridian na wenzao kila siku lazima nile dollar 100+, toka Ijumaa hadi leo dollar 500+
hahahah kwahyo meridian gundu.