Hapana mkuu nilikosea nikaweka mkeka wa timu tano Dinamo Mosko akaniua.
Mkuu vipi, mpunga wa bet365 uliingia.?
Bado hadi leo mkuu, nataka leo niwafate hawa wakenya. Au nahama bank niingie equity
Tatizo lipo wapi mkuu, maana inatisha kwa mainvesta hii. Maana ninasita kuweka pesa Bet365 sababu ya hii kesi yako mpaka nifahamu hatima yake
Jamaa anakuja kutuwekea alizokosa kosa! Aweke mkeka mapema ili tucopy kama vipi, au tushauriane sio kuringishiana jamani.
cc The_Emperor
Pole mkuu ila acha nikupongeze kwa kuzijua timu za ushindi maana umeingia mpka latin america uko kw Colo colo na ukarud izrael kwa telaviv
Wakuu mimi ndo nimebet mara ya kwannza meridian ... sasa sikufanya screenshot ya ticket... nafanyaje kuiona... shukrani wakuu
Wakuu mimi ndo nimebet mara ya kwannza meridian ... sasa sikufanya screenshot ya ticket... nafanyaje kuiona... shukrani wakuu
wale wa meridian jamani msaada hapa..eti kujiunga ili ubet online mpk uende kwny vituo vyao au kwny web yao inatosha ukifata maelekezo msaada jamani
Huwa naweka ndugu sema mara chache .. kuanzia sasa nitakua natupia mwanzo mwisho