Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nimevunja ule mwiko wa kutokula hela meridian siku tatu mfululizo......
Sasa atanitambua.....
 
mi nalog in mara kama kumi hivi wanasema login timeout daaaaaaaaaaaaaamn
 
Jamani eeeh tumieni hii hapa kwa wale wa bet365,ladbrokes,betvictor,bwin
Kickoff.co.uk
 
Bado hadi leo mkuu, nataka leo niwafate hawa wakenya. Au nahama bank niingie equity

Tatizo lipo wapi mkuu, maana inatisha kwa mainvesta hii. Maana ninasita kuweka pesa Bet365 sababu ya hii kesi yako mpaka nifahamu hatima yake
 
Tatizo lipo wapi mkuu, maana inatisha kwa mainvesta hii. Maana ninasita kuweka pesa Bet365 sababu ya hii kesi yako mpaka nifahamu hatima yake

Bet365 wameniambia kuwa wao walishatoa hela toka 20/10/2014
Sasa tatizo liko bank ya kcb, nataka nijaribu toa kwa card ingine tuone itakuwaje kwani hadi leo tukitoa non working days imefika siku 6 tayari, so nahisi kuna katatizo fulani hivi.
 
hannover,chemntzer,mechelen na spezia,kaiserlute nataka nichague 2 wakuu niweke elfu 10..ushauri wakuu
 
wale wa meridian jamani msaada hapa..eti kujiunga ili ubet online mpk uende kwny vituo vyao au kwny web yao inatosha ukifata maelekezo msaada jamani
 
Jamaa anakuja kutuwekea alizokosa kosa! Aweke mkeka mapema ili tucopy kama vipi, au tushauriane sio kuringishiana jamani.

cc The_Emperor

Huwa naweka ndugu sema mara chache…….. kuanzia sasa nitakua natupia mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu ila acha nikupongeze kwa kuzijua timu za ushindi maana umeingia mpka latin america uko kw Colo colo na ukarud izrael kwa telaviv

Ndugu yangu kamari imenifanya niujue mpira kiundani karibu kila kona ya dunia ambapo mpira unachezwa…...
 
Wakuu mimi ndo nimebet mara ya kwannza meridian ... sasa sikufanya screenshot ya ticket... nafanyaje kuiona... shukrani wakuu
 
Wakuu mimi ndo nimebet mara ya kwannza meridian ... sasa sikufanya screenshot ya ticket... nafanyaje kuiona... shukrani wakuu

nenda my account chagua option ya tikets alafu search...done
 
Back
Top Bottom