Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Kuna watu ikiwekwa mikeka humu wanaichukua kimya kimya, hata kutoa ushauri wa timu gani iondolewe kati ya hizo hawatoi.
 

Fact kaka
 
Leo hela ya mapema mpe Denmark
Slovakia
Hungary
Mtk budapest na litex lovech.....let go
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hahaha nimepata 196000 faida
Sasa wewe ulisoma nini sasa na ukasema unanifwata
GG 1st half 4.8 bet 90000=432000
GG 2nd half 3.6 bet 110000=396000
Ikatoa GG 2ND HALF FAIDA IKAWA 196
sasa Raimundo ulikataa tamaa na hukuelewa tip
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wewe mbayaaa
 
Last edited by a moderator:

du? Kimasikhara masihara umepiga mshahara wa mwalim
 
Last edited by a moderator:


Nilichokosea ni kucheza half ya kwanza na kusema ntacheza nyingine baadae, kama ningeamua kuweka at par half zote ningekula. Sasa baada ya kuona yale matokeo ya 1st half na jamaa wakawa tayari wameweka handicap nikagwaya kucheza tena.
 
Tip nliitoa ya mfano wa kiwango ambacho everyone can aford .....
Raimundo akadai ananifwata mwishowe akakimbia
 
Tamaa
Acha tamaa
Tumia akili kupata kile utakacho
Mafanikio huja kwa plan na akili
Ukiplan kitu alaf ukaingiza tamaa katika
Jua mwishoni lazima ufeli
 
Tip nliitoa ya mfano wa kiwango ambacho everyone can aford .....
Raimundo akadai ananifwata mwishowe akakimbia

Daah.. bado hiyo michezo ni hatari, si unakufa hivi hivi kwa presha game imeisha 1-0 and the likes..,,
 
Sasa hii ni bet
Na tokea nimeanza kubet style hiyo nimesha kula more than ten times kuliwa mara moja.....first day
 

Kubet kweli unatakiwa utumie akili sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
2+ ...... nani hafikishi.....tumtoe... tumpige mhindi...ADUI YETU MMOJA
 

Attachments

  • 2014-11-12--18_00_57.jpg
    33.3 KB · Views: 116
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…