Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa nimeshaanza kujifunza basketball kwa hizi siku ambazo hamna football ila mi na deal na Euro sio nba
 
SAM PIZZO:

ESTONIA nlimpa zer bet 1 half sikuona payout,nikampa pia zero bet full time naona loser ticket tu,leo pia nimempa wuerzburger kickers zero bet 1 half ni loser ticket
Mkuu hapo umekosea ESTONIA alishinda dakka ya 24 ya mchezo na ft ikabaki ni hilohilo goli moja kwaiyo kama ulimpa zero bet baada ya hilo goli iwe ni 1st or fulltm ni kwamba ulikosa na sio vinginevyo.Nafikiri tumeelewana.
 

Njia rahis tumia ile web browser ya simu achana na opera au chrome ukifika nenda direct www.meridianbet.com coz hata mm inazingua ila kwenye ile browser inakubali fresh tu.
 
Jamn km huna pc. Na unataka ku bet online tumia google chrome na sio opera min.
 
jamn km huna pc. Na unataka ku bet online tumia google chrome na sio opera min.

kuna baidu browser..uc browser...dolphine rowser...... Zote ziko fasta ajabu..... Union berln manina sana...... Haaaahaaaaaa memphis kavuka mpaka 210 duh.....
 
kuna baidu browser..uc browser...dolphine rowser...... Zote ziko fasta ajabu..... Union berln manina sana...... Haaaahaaaaaa memphis kavuka mpaka 210 duh.....

Basi leo Memphis kidogo anitoe uharo! Nilimpa cap first half ya -7.5, cha ajabu 1st quarter akapigwa 38 kwa 16, na hapo nilitupia 300,000 kwa nilivyokuwa nawaamini, cap ikafia hapo.

Nikapanic na kuamua kumpa 100,000 Memphis final result na odd ilikuwa 8, kama zali sekundi ya mwisho Mungu akafanya miujiza jamaa wakawin game dah!
 
Jamn km huna pc. Na unataka ku bet online tumia google chrome na sio opera min.

Kaka Umenisaidia kwa 100% ,kuna watu humu walishanipa mpaka na ushauri wa kuiuza HUAWEI yangu Y300.. kumbe everything is Possible.

Thanks thanks .. saana . ! .

-ve thinker wote wameumbuka .
 
Yaani hii hela ya Mapemaaaa , saa Tisa na mzigo wangu .. hawa Voda sasa ndio wanachelewesha kuniwekea hela .
 
Vp imekubali???

Imekubali kaka ,tena bila hata tatizo ... nilishaiona simu yangu ya kijinga... na tayari nshatengeneza list ya chpchap .. ni voda tu wanazingu kuniwekea salio ..
Othetwise .. thanks much ..
 

Attachments

  • 1415944856370.jpg
    53.7 KB · Views: 110
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…