Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Double bet hizi ...ngoja nkaweke pesa ....kwa mara ya kwanza miezi minne .... Nimepuruswa hatari......

Brazil 2&3+ 2.10
spain gg&3+ 2.33
france gg&3+ 2.71
guiseley gg&3+ 1.82
total odds 24.
 
Yaani leo nawaangalia tu, maana sina mtaji wa kutupia. Ila game ya Brazil inavutia kwa 2-2&3+ odd ya 2.65
 
england anacheza na scotland, yani hapo ni sawa tanzania bara vs zanzibar, huwa panachimbika japo england mara nyingi huwa anashinda, lakini madogo huwa wanakamia gemu haswaa.

hii mechi ni nyeusi.....wanajuana kimbwa..... kama kuicheza unafumba macho.....
 
Dawa ni mikeka ya timu mbili mbili tu, mmoja ukichanwa mwingine unalinda.
kwa mtindo huo pesa hii hapa
brazil 2&3+ 2.1
mexico 2&3+ 2.9
TOTAL ODDS 6.09......tumefilisika mpaka mwisho wa mwezi....mwenye pesa ajaribu 20000 ......laki ishirini fastaaaa.....
 
wakuu hela ipo hapa...nipeni ujanja
urenovs argentina
spain vs german
romania vs denmark
 
Sidhani kama watakataaa ila wanao uwezo wa kutokukulipa hata kama umeshinda
 
RAIS wa MARSEILLE KAKAMATWA KWA MATCH FIXING NA KUMNUNUA GIGNAC KIMAGENDO 2010.... CAEN NA BAADHI YA TIMU ZA FRENCH LEGUE TWO PIA WANACHUNGUZWA KWA MECH FIXING.... NA UCHUNGUZI UNAFANYIKA MECHI YA GREECE VS FAROE ISLANDS.... AMBAPO GREECE ALIFUNGWA 1-0.... mazeeee ulaya kimenuka match fixing zimekuwa nyingi sana..... weekend hii ufaransa kunaweza kusiwe na match..... UGERUMAN ...UBELGIJI NA UHOLANZI ZANYOOSHEWA KIDOLE...wanafungana sana magoli mepesi... italia hali ya mechi fixing imepungua baada vifungo vya JUVE NA AC ..... dah..... kumbe tunaliwaga kiajabuajabu....kumbe wanatuchezesha hawa maboya..... KAMPUNI ZA BETTING zinapigiwa chapuo zisimiliki au kudhamini vilabu vya soka....... ENGLAND IMESIFIWA KWA KUPITISHA SHERIA AMBAYO MTU YEYOTE ANAYEJIHUSISHA NA SOKA AWE KIONGOZI MCHEZAJI REFARII DOKTA WA TIMU KATIKA MADARAJA MATANO YA ENGLAND(PREMIER..CHAMPIONSHIP...LEAGUE 1... LEAGUE 2.... NA CONFERENCE PREMIER) ...HAWARUHUSIWI KUBET...UKIKAMATWA UMEJIFUTA MAISHA.......
 

greece wajinga sana walinichania mkeka hii game bora wafungiwe
 
barca na celta vigo....real madrid na sociedad..... Nazo kwenye blogs na forum nyingi sana wanapiga kelele nazo zilifixiwa.....

hao maseile ni nowma sana kwa michezo hiyo ndo maana walishushwa daraja 93' na kunyanganywa uefa title
 
hao maseile ni nowma sana kwa michezo hiyo ndo maana walishushwa daraja 93' na kunyanganywa uefa title

marseille wana controliwa na kundi la MARSEILLE MAFIAS ambao ni hatari sana kwenye hii michezo ya kamari ..kama ilivyo italy SICILIAN MAFIAS kundi kubwa sana la kimafia duniani....lonaushawishi sana kwenye vilabu vya NAPOLI FIORENTINA NA SAMPDORIA.... ila wakiamua kufix wanafix tu timu yeyote.....
 

Ndo nlikuwa naongelea hii jumamosi...kuna jamaa anakupa match unalipa baada.ndo alinipa hint nkakosa milion na laki saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…