RAIS wa MARSEILLE KAKAMATWA KWA MATCH FIXING NA KUMNUNUA GIGNAC KIMAGENDO 2010.... CAEN NA BAADHI YA TIMU ZA FRENCH LEGUE TWO PIA WANACHUNGUZWA KWA MECH FIXING.... NA UCHUNGUZI UNAFANYIKA MECHI YA GREECE VS FAROE ISLANDS.... AMBAPO GREECE ALIFUNGWA 1-0.... mazeeee ulaya kimenuka match fixing zimekuwa nyingi sana..... weekend hii ufaransa kunaweza kusiwe na match..... UGERUMAN ...UBELGIJI NA UHOLANZI ZANYOOSHEWA KIDOLE...wanafungana sana magoli mepesi... italia hali ya mechi fixing imepungua baada vifungo vya JUVE NA AC ..... dah..... kumbe tunaliwaga kiajabuajabu....kumbe wanatuchezesha hawa maboya..... KAMPUNI ZA BETTING zinapigiwa chapuo zisimiliki au kudhamini vilabu vya soka....... ENGLAND IMESIFIWA KWA KUPITISHA SHERIA AMBAYO MTU YEYOTE ANAYEJIHUSISHA NA SOKA AWE KIONGOZI MCHEZAJI REFARII DOKTA WA TIMU KATIKA MADARAJA MATANO YA ENGLAND(PREMIER..CHAMPIONSHIP...LEAGUE 1... LEAGUE 2.... NA CONFERENCE PREMIER) ...HAWARUHUSIWI KUBET...UKIKAMATWA UMEJIFUTA MAISHA.......