Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli saa zingine huwa haiendi kama utakavyo yaani stoke daaaah umeniachia unasikini wa hali ya juu kabisa
 
Yaaaani leo😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
What a day yaaani na dnipro angeshinda ndio ingekuwa 👍👍👍👍👍👍👍👍zaid
 

Kaka niliku PM hukunipa mrejesho. Uliiona PM yangu.?
 
Game zote za bundesliga zimetoa 3+
 

Attachments

  • 1416688208972.jpg
    39.5 KB · Views: 128
Hongereni mliopiga pesa leo, mimi leo nilipumzika, halafu wale wa tips, kuna hii site ya bettingexpert.com, nimefuatilia nimeona tips zao za ukweli sana, 99% kwa tips nilizozifuatilia naona zimetick.

Wadau kuna anayeitumia hii site kutafutia tips.?
 
Hakuna betting expert anayetabiri vile navyo bet that's y si hangaiki nao.....
Nawaonaga kama ni wapotoshaji wanaotumiwa na betting companies owners
Sionagi anaye tabiri 1GG or 2GG
Wala hw2 or Aw2
Wala 1-1&3+
 
Hongereni mliopiga pesa leo, mimi leo nilipumzika, halafu wale wa tips, kuna hii site ya bettingexpert.com, nimefuatilia nimeona tips zao za ukweli sana, 99% kwa tips nilizozifuatilia naona zimetick.

Wadau kuna anayeitumia hii site kutafutia tips.?

Nilishaitumia miezi kadhaa iliyopita lakini nao ni walewale tu. Kama leo wamepatia basi jiandae kulia kwa wiki kadhaa kama utawafuatilia. Pia jaribu na hii www.goonersguide.com
 
Ya kwangu hiyooo sijui nani hatari hapo apunguzwe..... ukicopy ilivy utaliwa......
 

Attachments

  • 1416718583858.jpg
    58.9 KB · Views: 207
mkeka wangu huo ; newcastle, stock; leverkuzen, Roma, lyon, wolfsburg, juve, R.sociedad, na monaco. nasubiria mpunga m. 3.2

mkeka chaliiiiiiiiiiiiiiii, mamaeeeeee zake stock, wolfs
 
Hao wwasenge wamwamenichaniaaa lakk 6
 

Attachments

  • 1416731235434.jpg
    26.2 KB · Views: 152
  • 1416731253899.jpg
    25.7 KB · Views: 136
  • 1416731271814.jpg
    25.5 KB · Views: 134
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…