Wazee wenzangu nimekaa nikatafakari, nahisi huyu mdosi ni mchawi! Yaani unaweza ukasuka mkeka ukauamini, kinachokuja kutokea unaweza kupararalize aisee, hebu oneni Westham alichonifanyia last weekend!
View attachment 205533
Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!
Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.
du? Pole sana ulikua umechanganua accordingly
Wazee wenzangu nimekaa nikatafakari, nahisi huyu mdosi ni mchawi! Yaani unaweza ukasuka mkeka ukauamini, kinachokuja kutokea unaweza kupararalize aisee, hebu oneni Westham alichonifanyia last weekend!
View attachment 205533
Sasa hivi nataka niwe nacheza kwa macho zaidi ya ukweli, mpaka siku nikiona nimemsoma mdosi ndio najitosa!
Basket nayo hali mbaya, kina Lebron James nawaamini wananipiga za macho.
Bayani
Roma
Barca
PSG
Chelsea
Arsenal
Sporting
Leo game zangu 3 ya mancity,chelsea na roma option ni ll2+
salaam wakuu!
juvestus
b.leverkusen
r.madrid
atletico
arsenal GG
Anderlecht GG
hata mkopo weka tu!
Jamanie mimi jana ndio ilikuwa mara ya kwanza kubet nikabet kwa chelsea na cska mosocow na nimepatia vp mshiko wangu naupataje?,game nyingine nimeliwa