Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Imefungukaaaaaaaaaaaaaaa
Na mimi naanza kubet sasa
miss lucy karibu sana. Rockcity native
Leo wapi waweka hela zako.
Lyon, Zurich, Besktas,Valencia,Marseille,cfr cluj, fc brugge, milan, inter
Wameachiiiaaaa
mie leo vilareal,maseile,reims,aston vila.. Mi falsafa yangu ni home team win
hawa majama ukla kama 1 billion watakulpa kwel? Au utatapeliwa.
Kuna limit ya kula kwa kila ticket, kwa Meridian ni 5mil.
Kuna limit ya kula kwa kila ticket, kwa Meridian ni 5mil.
DUH.....KUNA TIMU YA UBELGIJI ROOSELARIE LA MAMA YAO.... WANAONGOZA 3-0 MPAKA WANATOA 4-4 ndio maana hii ligi inachunguzwa kupanga matokeo.... Aalst kapigwa 2-0 sasa hivi anaongoza 4-2.... aseeee
haya haya kwa wale wcheza kamari wa ukweli...!!
kuna mechi serie a brazil, ligi inaisha leo.
palmeira vs atletco pr , atletco pr win odd 7.5