Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Washarudisha ule ujinga wao nimebet tik3t mkja tuu
 
Attachments

  • 1417949775803.jpg
    1417949775803.jpg
    34.5 KB · Views: 103
miss lucy karibu sana. Rockcity native
Leo wapi waweka hela zako.
Lyon, Zurich, Besktas,Valencia,Marseille,cfr cluj, fc brugge, milan, inter
 
Last edited by a moderator:
DUH.....KUNA TIMU YA UBELGIJI ROOSELARIE LA MAMA YAO.... WANAONGOZA 3-0 MPAKA WANATOA 4-4 ndio maana hii ligi inachunguzwa kupanga matokeo.... Aalst kapigwa 2-0 sasa hivi anaongoza 4-2.... aseeee
 
DUH.....KUNA TIMU YA UBELGIJI ROOSELARIE LA MAMA YAO.... WANAONGOZA 3-0 MPAKA WANATOA 4-4 ndio maana hii ligi inachunguzwa kupanga matokeo.... Aalst kapigwa 2-0 sasa hivi anaongoza 4-2.... aseeee

ubeligij,uturuki ni majanga
 
Wazee wa live betting mechi ya barcelona inahusika muda huu kupiga hela

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
haya haya kwa wale wcheza kamari wa ukweli...!!

kuna mechi serie a brazil, ligi inaisha leo.

palmeira vs atletco pr , atletco pr win odd 7.5
 
haya haya kwa wale wcheza kamari wa ukweli...!!

kuna mechi serie a brazil, ligi inaisha leo.

palmeira vs atletco pr , atletco pr win odd 7.5

Hapo unatupia 50,000 hafu unalala kabisa, matokeo unaangalia asubuhi baada ya kunywa chai.
 
Back
Top Bottom