Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Gamba Osaka nina mashaka naye, Jaribu kucheza under 2.5 hapo..
 
dah... nimeweka tu kwa instincts
LYON WIN 1.5
RANGERS WIN 1.62
ODDS 2.43
 
Mtani jembe simba mwaka huu wameziamulia hela, Yanga kaachiwa Mil 5 tu mpaka sasa, dah!
 
Kamari ni haramu . Utapoteza pesa zako tu , hakuna , anaefaidika katika Kamari ila mchezeshaji tu
 
Kamari ni haramu . Utapoteza pesa zako tu , hakuna , anaefaidika katika Kamari ila mchezeshaji tu
endelea kuwaza hiyo hivyo wenzako kila siku hela ya mafuta na mazagazaga mengine yote tunaipata kwa kubet...hela nyingine inatumika kufanyia maendeleo
 
Odd 2.83
 

Attachments

  • 1418407100874.jpg
    58.5 KB · Views: 151
Mkeka wa Basket wa kulalia huu apa, nitaamka kucheza live kama utatibuka.

 
Kamari ni haramu . Utapoteza pesa zako tu , hakuna , anaefaidika katika Kamari ila mchezeshaji tu

ni nini uharamu wa kitu,kama kampuni husika inalipa kodi uharamu wake ni upi?,
eti anaefaidika ni mchezeshaji ndio nae anafaidika nasi tunafaidika life linakwenda,kama ilivyo kwako unalipa kodi tena lukuki akina wanao faidika ni akina chenge na wenzio.kati ya watu wanao iba mabilion ya pesa achilia mbali hi billion 321 unajua athari yake kiuchumi,ni watu wangapi wamekufa ,wamekosa chakula,elimu na vingine kwa nini wizi huu usiwe haramu ije kuwa kamari ya mpira.
Hi ni biashara kama zilivyo biashara zingine loose and gain.na duniani hapa biashara zote ni haramu ukifuata maana halisi ya neno haramu labda uwe na tafasiri yako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…