Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani inakuwaje nimelipia kwa mpesa na ujumbe umerudi kuwa nimefanikiwa kulipia meridia..lakini nikiingia kwenye account yangu meridian salio silioni msaada tafadhali

Subiri kwa nusu saa mpaka masaa mawili ndio inaingia kwenye account
 
Miami kapewa 3 na Brooklyn.. daah nimemfata hivohivo lama kufa wacha nife tu
 
Valencia na Nantes ------- sana, Nantes kaja lushinda extra time, daah.
 
Baada ya kubet
Beryern munich HW2
Real Madrid AW2

Nikaamua salio la kuchezea basket usiku niliweke loooote kwa
Huyu mshenzi pichani
 

Attachments

  • 1418794261907.jpg
    41.9 KB · Views: 126
Baada ya kubet
Beryern munich HW2
Real Madrid AW2

Nikaamua salio la kuchezea basket usiku niliweke loooote kwa
Huyu mshenzi pichani

Nimeachana na mpira... nabet basket tu tena live. Mpira labda U/O.. chelsea kanipa over 2.5 nilitia mwekundu nikadabo mzigo na zaidi kidogo
 
hawa wa m bet wa voda wezi tu, jana nimebet mpaka sasa sioni salio wala nini heti ndani ya masaa 24, unawapigia simu wanaongelea puani
 
hawa wa m bet wa voda wezi tu, jana nimebet mpaka sasa sioni salio wala nini heti ndani ya masaa 24, unawapigia simu wanaongelea puani

Kuwa na subira. Au ndio mara yako ya kwanza kubet kwao?
 
Wakuu Nisaidieni mkeka ndio mara yangu ya kwanza kubeti
 
Hawa hawana shda subr tu watakutumia.

tatizo niliwapigia simu nawauliza vipi wananiambia mechi uliyobeti umeshindwa wakati mimi ndio nimebeti na matokeo nimeshinda nikashangaa sana
 
Baada ya kubet
Beryern munich HW2
Real Madrid AW2

Nikaamua salio la kuchezea basket usiku niliweke loooote kwa
Huyu mshenzi pichani

mzeee jana kanila mtaji woooote 50000 cash..
nilitupia mkeka humu asubuhiiiii....nilikua nasafiri kuja DAR..... nkabet asubuhi kabisa...nkatupia humu
KAIZER CHIEFS
SOUTHAMPTON
CHELSEA
....sikuangalia matokeo mpaka nafiia dar saa5 ..usiku.... .nkakuta kaizer kawin ..chelsea anaongoza kuja kwa soton duh..... bila bila halftime....kucheki kikosi..... NKAKOMET HUKU SOTON ANATUUA
sasa leo nkipigwa jamani likizo rasmi
LEVERKUSEN WIN
SCHALKE 04 WIN
LIVERPOOL WIN
ODDS 9.7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…