Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shake Money, pitia hizi.


Pitia hii post ya Mzee Going Concern:-


Kuongezea; Mfano game ya Miami na OKC, wanaweza wakasema total points ziwe over/under 200.5, ukichoose over inamaana points zikiwa zaidi yaani 201 ndo unashinda, vivyo hivyo kwa under!

Angalizo, usicheze mchezo usioujua vizuri! Pia usiweke kiasi ambacho ukiliwa kitaathiri bajeti yako. Do it for fun, Mhindi haliwi.
 
Last edited by a moderator:

Dah.. hawa wakuu Going Concern na NkyaH inaonekana wamebobea sana hapa. asante sana mkuu kwa kunipekulia huu uzi..

Baadae nitawa pm wanifundishe zaidi ili niweze kupata ujanja zaidi.
shukrani.
 
Last edited by a moderator:
mechi ikiwa postponed wakati ulishabet hela wanarudisha au inakuwaje?
 
Wakuu... nimewithdraw hela toka juzi... mpaka sasa hazijafika na nawapigia simu hawapokei... inakuwaje hapo??
Mkuu kama ni meridian sijui vp m mwenyewe toka baada ya game ya Madrid na atletico hawajatuma
 

Mkuu Raimundo jana niliamka na 20 mpaka naenda kulala nilikua na kitu kama 130.. Tamaa nikatie 50 kwa vilaza flani wa tenisi, hao ndio wakanipunguzia faida. Mwendo ni wa Basketball tu sasa mpira nimewaachia wengine. Mimi nikikuta hata mechi ya Congo basketball naweka tu..
 
Last edited by a moderator:

Inanivutia ngoja wacha niitengee kama buku kumi hv yakujifunzia maana ukipenda vizuri lazima ughalamike
 
Last edited by a moderator:
Inanivutia ngoja wacha niitengee kama buku kumi hv yakujifunzia maana ukipenda vizuri lazima ughalamike

Ukitaka kuusoma mchezo anza kuweka shilling 100 uki'assume hiyo ni buku 10. Then njoo na majibu.. Ushauri bet kwenye over/under kwa Total Points au Quarter Points.. Bear in mind, kabla hujabet angalia kwanza trend ya first quarter.. Mara nyingi kama sio zote First Quarter inakuaga na magoli mengi zaidi ya Second Qarter na Third Quarter inakuwa na magoli machache dhidi ya Fourth Quarter. Pesa bwelele hapo
 
Leo ni hivi
Bolton
Burton
Aberdeen
MK
Brentford
Mancity
Bristol
Bournemouth
Wycombe
Chelsea
 
Chizi nimelogwa tena...ama zake mhindi ama zangu mimi......1500 kwa milion 2.9
 

Attachments

  • 1420895087366.jpg
    75.2 KB · Views: 169
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…