Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu umenifurahisha sana hapo kwenye red,mm nimepumzika kidogo bado natafuta strategy ya kurudi nayo ili ni mle

mhindi jamaa haliki kirahisi.

Angalizo, usicheze mchezo usioujua vizuri! Pia usiweke kiasi ambacho ukiliwa kitaathiri bajeti yako. Do it for fun, Mhindi haliwi.
 
LA hoya vs El Palo IX
Nurmancia IX
Milila IX
Real bets IX
Reus IX

Weka 10000 nawatakia utajiri mwema na siku njema.tuonane jioni. .
 
Inter - Genoa 5.01 Inter Lose Jan 11, 2015 - 2:25 pm
Almeria - Sevilla 3.78 Almeria Win Jan 11, 2015 - 1:55 pm
Skoda Xanthi - Olympiakos Piraeus 8.40 Skoda Xanthi Win Jan 11, 2015 - 8:25 pm
Atalanta - Chievo 1.98 Atalanta Win Jan 11, 2015 - 4:55 pm leo nakufa hivi 100. Inakuja 300000
 
Jamani leo ni hivi
 

Attachments

  • 1420977821692.jpg
    62.7 KB · Views: 139
WOLVES WIN
MONACO WIN
LYON WIN
NANTES WIN
Hapo vipi inawezekana?
 
Na hii vipi?
ATALANTA WIN
CESENA WIN
MIRANDES WIN
NAPOLI WIN
AOK KEKYRA WIN
ALAVES WIN
PAS GIANNINA WIN ODDS 2,969.
 
Kusema ukweli bora Roma au mwenzake ashinde kuliko kutoa draw ili mkeka mmoja wa over ubakie salaama
 
Dah hali ngumu aisee. Ila nimegundua kuwa tamaa zrtu za kumwaga mikeka mingi ndo tatizo.
Tafuta dolar mia unacheza mara moja kwa weeek, laki unacheza mara moja kwa wiki baaasi
 
Dah hali ngumu aisee. Ila nimegundua kuwa tamaa zrtu za kumwaga mikeka mingi ndo tatizo.
Tafuta dolar mia unacheza mara moja kwa weeek, laki unacheza mara moja kwa wiki baaasi

kuupata mtaji kama huoo sasaa..,,
 
Mara ya pili barca na atletico wananimaliza... Huwa naweka goals 2-3 isipokuwa hawa jamaa tu ndo wameharibu mission yote
 
Rayo valcano win
swidon win
sochaux win
hamilton win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…