Nikikopi mkeka wa mtu humu lazma mpotee 🙁
una moyo wewe umempa liver
nimempa liver kwani arsenal ana kimbembe next week na bayern so nahisi atapumzisha key players. Wengne wote wameshnda. Kuna kamkeka kajioni nimempa juve na napoli handcap wanalead!
Wausiku nimempa madrid,herthaberin na qpr. Mnaweza kumpa roma,porto pia.
aisee leo nimebana mbupu, duh hakyanan hela haipatikan kirahisi. Viva gunerz
hongera c.e.o bora hela imebaki kwetu!! Leo nimetumia buku4 mikeka 3 nimepata 11,
leo nmetoa mingi mingi akina fenerbahce,besikts,napoli,zurich lkn kwenye list tofaut
Rick city native unajua kubet mkuu..... jana liver kaliza wengi.....
rahim kwa mkeka huu umemvua nguo kanjibah!
nilijua itakua ngumu liva kumgeuza arsenal kama chapati, yani amfunge huku na huku?
jaman me natafta mtaji leo
jaman me natafta mtaji leo