Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimempa liver kwani arsenal ana kimbembe next week na bayern so nahisi atapumzisha key players. Wengne wote wameshnda. Kuna kamkeka kajioni nimempa juve na napoli handcap wanalead!

Wakat nami namsikilizia arsenal ngja nitoe ya kulalia
 
Wausiku nimempa madrid,herthaberin na qpr. Mnaweza kumpa roma,porto pia.
 
Aisee leo nimebana mbupu, duh hakyanan hela haipatikan kirahisi. Viva gunerz
 
nimempa olimpiakos,verona,lens,galatasaray na timu nyngne siijui jina. mikeka miwili
 
Back
Top Bottom