ndugu zanguni naombeni mnielekeze namna yakuangalia mkeka wako
ambao umeuweka kwenye Apps ya Meridian
maana sijui mwenzenu hii apps ndio naanza kuitumia
M
MSAADA WENU TAFADHARI
ndugu zanguni naombeni mnielekeze namna yakuangalia mkeka wako
ambao umeuweka kwenye Apps ya Meridian
maana sijui mwenzenu hii apps ndio naanza kuitumia
M
MSAADA WENU TAFADHARI
Wadau siku kama za Jmosi na J2 ambazo mara nyingi kunakuwa na games za kumwaga tushirikiane mapema kuanika mikeka humu jamvini. Kwa kwa games za Jmosi 2naweza anza kuanika mikeka Ijumaa then hadi Jmosi asubuhi mida ya sa4 au sa5 tunakuwa tumeshapata mwanga flani. Kuna tips nyingi tu znasaidiaga sana ktk kuchagua teams za kuwekea mzigo. Mfano kuna jamaa kaandika Valencia na Malaga hazijawahi kushinda kwa pamoja zikicheza siku 1, pia kuna sehemu niliona miongoni mwa teams ambazo zimecheza games nyingi bila gamea zake kuhusisha matokeo ya sare ni Espanyol, yaani yeye either afungwe au ashinde, jana ni game yake ya 11 bila sare. Sasa kwa game ya jana inawezekana kuna mdau kampa Valencia Double Chance yaani ashinde au asuluhu kumbe ni bora angeipa game nzima Double Chance yaani ile ya kushinda 1 or 2, naamini ma-investors tutakuwa tumeelewana.
parma siyo timu ya kuibetia..... mkiani mwa ligiParma huyoooo ananiua kizembe, anadraw na Cagliari.
haya naanza mimiWadau siku kama za Jmosi na J2 ambazo mara nyingi kunakuwa na games za kumwaga tushirikiane mapema kuanika mikeka humu jamvini. Kwa kwa games za Jmosi 2naweza anza kuanika mikeka Ijumaa then hadi Jmosi asubuhi mida ya sa4 au sa5 tunakuwa tumeshapata mwanga flani. Kuna tips nyingi tu znasaidiaga sana ktk kuchagua teams za kuwekea mzigo. Mfano kuna jamaa kaandika Valencia na Malaga hazijawahi kushinda kwa pamoja zikicheza siku 1, pia kuna sehemu niliona miongoni mwa teams ambazo zimecheza games nyingi bila gamea zake kuhusisha matokeo ya sare ni Espanyol, yaani yeye either afungwe au ashinde, jana ni game yake ya 11 bila sare. Sasa kwa game ya jana inawezekana kuna mdau kampa Valencia Double Chance yaani ashinde au asuluhu kumbe ni bora angeipa game nzima Double Chance yaani ile ya kushinda 1 or 2, naamini ma-investors tutakuwa tumeelewana.
haya naanza mimi
mkeka wa jmos
rottherdam - bournouth , bounath win
swansea- chelsea, chelsea win
qpr- man utd, man utd win
lens - lyon , lyon win
panmafiel - porto , porto win
haya naanza mimi
mkeka wa jmos
rottherdam - bournouth , bounath win
swansea- chelsea, chelsea win
qpr- man utd, man utd win
lens - lyon , lyon win
panmafiel - porto , porto win
mm napenda sana kubet lakini bado cjafahamu jinsi ya kubet nitafanyaje ili niweze jamani msaada wenu ili na mm nijaribu bahati
haya naanza mimi
mkeka wa jmos
rottherdam - bournouth , bounath win
swansea- chelsea, chelsea win
qpr- man utd, man utd win
lens - lyon , lyon win
panmafiel - porto , porto win
asante mkuu nimezionaUkisha-login ktk account yako click kuna sehemu imeandikwa "MY ACCOUNT" then ingia "TICKETS" afu ukiangalia chini kdogo kulia utaona maneno yameandikwa "winner", "open", "looser" na mengine ambayo sionagi kama ni ya muhimu sana. Hakikisha katika hayo maneno mbele yake kuna alama ya tick, then angalia juu ya hayo maneno kuna maneno yameandikwa "search from" ........... "search up to" .......... hapo utaset tarehe ambazo hiyo ticket(s) yako uliicheza then click "search". Kama hujaelewa ni-PM