Imeshaanza kuzingua aisee, au ni kwangu tuuLeo siku mbaya ya mtandao kuwa chini, fanyeni yenu mapemaaa!
Hii ni kwa wale wa Meridian.
Leo nitaweka hapa mikeka
Leo siku mbaya ya mtandao kuwa chini, fanyeni yenu mapemaaa!
Hii ni kwa wale wa Meridian.
Sure bet hii hapa kaka
Valencia
Hibernian
Bournemouth
Derby
Maccabi Tel Aviv
Aberdeen
Cliftonville
Shrewsbury
Middlesbrough
Vitoria Guimaraes
Fylde
Salernitana
Stineriga, MANGUNGO njooni mmwage NONDO hapa. Me naamini namba ya ushindi itatoka katika teams hizi.
haya wazee mi nshajilipua. man u,chelsea,liverpool wote nimewapa wapate goli mbili. nimetia laki inakuja 584500. tuombeane wakuu
mkuu liverpool kweli hawatabiriki. ila kiufupi epl imekua unpredictable. wiki iliyopita nani angeamini man u watakosa ata goli 1 nyumbani. lets just wait and seeUngekuwa hujajilipua ningekuomba uitoe Liverpool
mkuu hio ni kampuni gani?Leo huu hapa jamani
mkuu hio ni kampuni gani?
hao siwajui mkuu ngoja niwacheki. nimepiga sana hela ladbrokes mpaka walipoanza kubana options za magoli nikawatema.Coral ndo kampuni