Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo siku mbaya ya mtandao kuwa chini, fanyeni yenu mapemaaa!

Hii ni kwa wale wa Meridian.
 
Leo natafuta options za ukweli, odds zifike 4 nitupie zigo. Nitaweka hapa.
 
Sure bet hii hapa kaka

Valencia
Hibernian
Bournemouth
Derby
Maccabi Tel Aviv
Aberdeen
Cliftonville
Shrewsbury
Middlesbrough
Vitoria Guimaraes
Fylde
Salernitana

Stineriga, MANGUNGO njooni mmwage NONDO hapa. Me naamini namba ya ushindi itatoka katika teams hizi.


mkuu nimeshamwaga nondo zangu kwa zile timu naamini zinaweza shinda,
na wewe ndio ungemwaga nondo zako kwanini unaamini hizi timu zinaweza shinda cliftonvile, vitoria guimares, flyde, selertna na middlesbrough na macabi.
 
odds 2
 

Attachments

  • 1421491469710.jpg
    1421491469710.jpg
    66.1 KB · Views: 154
Leo huu hapa jamani
 

Attachments

  • 1421494797713.jpg
    1421494797713.jpg
    57.2 KB · Views: 140
Back
Top Bottom