Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nasikia kuna gemu za mapema mapema tutafute odds 2/3 za faster
 

Hawa BIKO na GSB wote wakuripoti...maana wamekua wababaishaji sana...namba za board hizi hapa
 
Nashukuru sana Mkuu.
Nimejaza fomu online tayari nimejibiwa nitapokea majibu ndani ya masaa 48.
Gsb pia walinitapeli mkuu
Hawa BIKO na GSB wote wakuripoti...maana wamekua wababaishaji sana...namba za board hizi hapa
 
Yes chief hizi za mapema hizi ndo dili mambo yakienda vizuri unatega na za mida mida pia[emoji122][emoji122][emoji122]


Hawa wajapani siwaaminigi sn Chief nimestake kdg nione km nitapata ya lunch. Hope tutashinda.
 
Naomba kuuliza: -
(1)Ili uweze kushinda fedha hadi sh. 1,000,000 kwenye m-bet unatakiwa kuchezaje?
(2)Kiasi cha fedha kikubwa zaidi unachoweza kushinda kwenye m-bet ni shilingi ngapi?
(3)Perfect 12 inachezwaje na ushindi wake ni shilingi ngapi?

2.Dau la juu kuweka ni laki moja, dau la chin ni buku kwa tigo pesa na ni jero kwa mbet wallet.. kiwango kikubwa zaid kushinda ni m3
3. Perfect 12.. unapewa timu 17 unazibashiria zote, ila zinahesabika 12 zile 5 ni nyongeza kama ikitokea 1 kati ya zile game 12 imeahirishwa chochote kimetokea, dau ni buku ila kiwango cha kushinda hakipo maalumu huwa kinaongezeka pale wiki kwa wiki mpaka pale mtu atakaposhinda na, akishinda pesa inaanza milioni km 20 hv na kuongezeka kidogo kidogo mpaka mtu ashinde tena, kwahyo asipotokea wa kushinda inaongezeka yaweza kufika hata m200..
N.B km washind ni zaid ya m1 mnagawana pesa ile ile..
1.swali lako tata.. unacheza hvyo hvyo, nenda, hawa wana option za handicap, normal, 2.5, 1st n 2nd half na both teams to score, unachagua timu zako unaweka dau lako, kama dau ni 10000 meanz unasaka odds za pointi 100 inakuwa milioni.
 
Buddy kwa utaalam wako naomba unisaidie ligi ambazo hazifungani sana magoli, sasa hivi nataka niwe nabetia under1.5 FH

Chief hizi ni miongoni ... lkn sio guarantee, inategemea timu. Ila generally hizi ligi hazina magoli sn (mtazamo wangu).

- Spain - La Liga 2 (Segunda Division)
- Kenya - Premier League
- Poland - Ekstraklasa
- Romania - Liga 1
- Greece - Super League
- Argentina - Primera B Nacional
 
Poa mkuu, nashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…