Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Jana kanji khttp://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/bf74c226ecdef889ac0515a1f5f4da56.jpg[/IMG

Jana kanji kasepa na mtaji mwenye Buku ajaribu hiyo zari asisahau kunipa hela ya supu.
 
Mwenye buku mbili aweke hapo asisahau kula supu kupoza machungu ya siku nyingi
 
kazi kwako
 
jaman anayefahamu matokeo ya easyknit property vs shatin hong Kong aniambie maana nimetafuta mpk bas.
 
Bhayangkara Surabaya vs Persiba Balikpapan
Score: 1 - 0
Min: 18
⚽ Goal!!
Bhayangkara Surabaya United


*INPLAY TEST
Gg n ov 1.5/2.5
 
Nenda google angalia kwanza zipo
Nilishawahi betia timu zikatiki nane yatisa nilimeachia Mungu mpk Leo ilitokea wwapi
jaman anayefahamu matokeo ya easyknit property vs shatin hong Kong aniambie maana nimetafuta mpk bas.
 
daah umepotea sana Avogadro...tulimis makokoro yako humu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…