nani kasema? utaliwa pesa zako bure. we zama kwenye makampuni ya kubeti kisha jitafutie odds mwenyewe au shirikiana na wenzako humu wanao shea mikeka yao chagua timu kadhaa kisha ulale mbeleMr q nipe huo mchongo wa kufata odds naskiaga sana
Dallas Mavericks -
Orlando Magic
Home
1.57
Atlanta Hawks -
Memphis Grizzlies
Home
2.16
Multiple Odd 3.39
Acha tu mkuu ila Dallas kanifanya nibinye mbupu sana duhBET WON !
Mkuu hukufanya makosa kuwafuata na odds zao za kibabe hivyo hivyo, mi nliwaogopa nikajua labda kuna namna. Big UP Chief ...bora NBA wamepunguza machungu ya Wales.
[emoji12] [emoji12]
BET WONBoston Celtics -
Philadelphia 76ers
Home
1.32
Miami Heat - Charlotte
Hornets
Home
1.57
Multiple Odd 2.07
BET WONDallas Mavericks -
Orlando Magic
Home
1.57
Atlanta Hawks -
Memphis Grizzlies
Home
2.16
Multiple Odd 3.39
Acha tu mkuu ila Dallas kanifanya nibinye mbupu sana duh
Mkuu za leo vipiBET WON
Hivi wanangu Ireland huwa mnamuangaliaga auKatulaza na njaa uyoo mpuuzi,yeye peke ake
Ucpotiki huuu natembea kwa miguu kuja dar
Utanipitia twende wote nipo ChatoUcpotiki huuu natembea kwa miguu kuja dar
Dah tunajua ni kibopa ila wales alikua na uwezekano mkubwa wa kushinda ndo mana nikampaHivi wanangu Ireland huwa mnamuangaliaga au
Hawajielewi wale jana nlimtembelea Ireland ujue team ikiwa na star mmoja sijui inakuaje aseeDah tunajua ni kibopa ila wales alikua na uwezekano mkubwa wa kushinda ndo mana nikampa
Jana kilo na ushee kaimeza peke ake,japo nlimpa double chance ila akashindwa hta kubana...kanikera kichizHawajielewi wale jana nlimtembelea Ireland ujue team ikiwa na star mmoja sijui inakuaje asee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana bwnaaa Madrid 1.01 NaalipigwaUcpotiki huuu natembea kwa miguu kuja dar
Hapo mchawi namuona ni france hiyo over 2.5 cjui kama itatoa hata uholanzi tia maji tia maji sweden wamoto cku hiziUcpotiki huuu natembea kwa miguu kuja dar
Daaaa pole sana ile double chance yake nliitema jana coz huaga haitoagii mala kwa mala na ndio maana nliwaaamin IrelandJana kilo na ushee kaimeza peke ake,japo nlimpa double chance ila akashindwa hta kubana...kanikera kichiz