Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wa "one day ntampiga muhindi/mzungu" salama humu? vp kuna mdau yeyote ashampasua muhind au mzungu?? mi bado nko likizo ndef isiyo na malipo😎😎😎
 
wazee wa "one day ntampiga muhindi/mzungu" salama humu? vp kuna mdau yeyote ashampasua muhind au mzungu?? mi bado nko likizo ndef isiyo na malipo😎😎😎

We endelea na likizo, ukirudi humkuti muhindi wala mzungu! Tunawafungisha virago hawa mwaka huu.
 
Kwa mfano m~bet hua wanatuma kwa njia ya mpesa kwa kupitia namba uliolipia nayo. Mfano kama leo ukishinda wanatakutumia pesa yako kesho kati ya saa nne asubui hadi saa kumi jion.

Samahani nina maswali mengi ndio najifunza mnivulimie please.

So nikitaka kubet kwa mpesa natakiwa niandike nn na nitume kwenda namba gani
 
Raimundo
Tatizo sio letu bali ni timu kama Chelsea
Man city tuna wadhamini tukijua ni timu kubwa zina wachezaji bei ghali hivyo watashinda ila ndo wanaharibu tena mara mia saba sabini.
Ipo siku tutapatia wote na mhindi atalia na yeye. Ngoja tu anywe kahawa kwa hizi siku chache next week lazima tumle na sisi.
Haiwezekani ukampiga mtu kila siku ukidhania yeye hajifui, ipo siku atakuchapa kama mtoto
 
Last edited by a moderator:

Kuna formula nataka kuja nayo hapa, ya kucheza game 1 daily na mtaji fixed!

Nimechagua site moja ya => Darko, jamaa anafanyaga uchambuzi daily na kuweka predictions zake, nimeona yuko 70-80%; kati ya 30 za mwezi anapatia 20 anakosa 10.

Hivyo basi nitakuwa natambaa naye kila siku kwa mtaji wa 50,000 (odd ni 1.6 - 2.0 kwa tips za bure), mwisho wa mwezi nitatoa mrejesho wa faida na hasara, assuming kwamba ataendelea kuwa na 70-80% accuracy, faida inaenda kuwa 600,000 kwa mwezi.

Ni muda wa kuwa na nidhamu ya hii biashara, mambo ya mikeka naachana nayo rasmi.

Nitaongeza mtaji kadri nitakavyokuwa napatia hizi za mwanzo na kuendelea kuikubali accuracy ya jamaa, wakati huo huo naendelea kutafuta the best analysts.

NOTE: Nitatumia zile tips anazowekaga za bure!
 
standard liege 1/1 ht ft
Barcelona b 2/2 ht/ft
 
Leo kwenye m kikapu nataka ni jaribu hii njia. Nataka niangalie game kumi za nyuma kwa kila team na idadi ya vikapu kisha nitafute average hiyo ndiyo nitakayo tumia kuweka over na under kwa game za leo
Angalizo: nipo kwenye majaribio
 
Leo kwenye m kikapu nataka ni jaribu hii njia. Nataka niangalie game kumi za nyuma kwa kila team na idadi ya vikapu kisha nitafute average hiyo ndiyo nitakayo tumia kuweka over na under kwa game za leo
Angalizo: nipo kwenye majaribio

Conditions za game kwa game zinatofautiana mkuu, its very unpredictable!

Atleast ufanye pia calculation ya ni kwa kiasi gani timu ina-diverge kutoka kwenye average!

Mfano:-
1. Ukikuta OKC ina average ya 100 pts per game kwa mechi 5, score zake zikawa 84, 90, 118, 126 na 82; hii unaachana nayo.
2. Ukikuta Miami ina average ya 90 pts per game kwa mechi 5, score zake zikawa 90, 88, 94, 86 na 92; hii unaweza kuifikiria kwa sababu haiendi mbali na average.

NOTE: Points zinategemea na timu kuwa na scorers wazuri, urais wa deffense ya upande pinzani, flow ya game husika.

Kila la kheri mkuu.
 

nmeingia iyo web yake kuona ila nmeona kuna kulipia uwe unazituma na uku na wengne wazipate izo tips za bure
 
nmeingia iyo web yake kuona ila nmeona kuna kulipia uwe unazituma na uku na wengne wazipate izo tips za bure

Kuna za kulipia na za bure mkuu, kama umeangalia vizuri leo kulikuwa na ya bure ya Lyon vs Metz; Lyon win (-1.5) handicap.

Mimi naanza kucheza za bure kwanza, nitahamia kwenye za kulipia kama nitaona mafanikio kwenye za bure. Preliminary assessment inanipa faida ya laki 3 hadi 5 kwa mwezi kwa mtaji wa 50,000 daily.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…