Hapo kwa Brazil angalia usije kuingia cha kike... naamini Paraguay anachana mkeka huo.
Vipi mkeka uko sawa?
Huu unaoneka ulichanika mapema sana
Mtoto wa nzi, Rockcity native, Root, NkyaH na wadau wengine wa basket, kuna sheria imebadilishwa ya kuijumlisha hadi overtime kwenye total pts (under/over), winner, odd/even etc.
Hii imenicost sio kidogo! Nacheza under zikiwa zimebaki dakika chache game iishe, half wakitoa draw kimenuka, maana point za overtime zitajumlishwa kwenye zile za regular time.
Na hii nimeiangalia kwa bookmakers kama 5 hivi; inaonekana ni universal. Kwa sasa kucheza under ni hatari sana.
Ni kweli hata mm nililiona hilo leo asubui. Ila nataka nithibitishe kwa Lakers ss hiv maana niliweka over ila wametoka droo kwenye normal time ss wako over time
Usisahau kuleta mrejesho!
Raimundo
Mimi Basket sijawahi jaribu hata mara moja huwa mwoga kiasi
Vipi mkeka uko sawa?
Umepokea pesa kutoka
kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369.
Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.
pole mdau.....hii ni set ya normal kipengele cha halftym...... sasa nani
ambaye hajatoka sare halfty
AEK ATHENS
PANATHANIKOS
BRISTOL CITY
VILAREAL
SEVILA
ATHLETIC
nani kashinda halftym!!!!!