Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

dah leo atleast magoli yameniokoa, my mtaji is back na kakijifaida ka 19000 baada ya ku hhustle for looong time,
 
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #109155 .Ya kuuzwa 2015-01-29 16:21:16.Dau: 1,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 123,499.20 Tsh.PAN draw:2.23,ATH draw:2.12,BRI draw:2.38,SEV draw:2.23,GET draw:2.14,AEK draw:2.30,seti #66H .

kakaaaaa......
 
Vipi mkeka uko sawa?
 
Mtoto wa nzi, Rockcity native, Root, NkyaH na wadau wengine wa basket, kuna sheria imebadilishwa ya kuijumlisha hadi overtime kwenye total pts (under/over), winner, odd/even etc.

Hii imenicost sio kidogo! Nacheza under zikiwa zimebaki dakika chache game iishe, half wakitoa draw kimenuka, maana point za overtime zitajumlishwa kwenye zile za regular time.

Na hii nimeiangalia kwa bookmakers kama 5 hivi; inaonekana ni universal. Kwa sasa kucheza under ni hatari sana.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli hata mm nililiona hilo leo asubui. Ila nataka nithibitishe kwa Lakers ss hiv maana niliweka over ila wametoka droo kwenye normal time ss wako over time
 
Last edited by a moderator:
mkeka wa leo:Brest win,Troyes win,Valecano win,Braga win,PSG win,Tours win na Gfc ajaccio win.
 
Raimundo
Mimi Basket sijawahi jaribu hata mara moja huwa mwoga kiasi

Hata mm nilikua mwoga sana ila baada ya kueleweshwa na wadau kupitia uzi huu nilianza taratibu nikawa naweka 100 au 200 alafu nacheki inakuaje. Mpaka sasa nacheza bila uoga. Ila inahitaji kufikiria kidogo tu.
Lakini ni mchezi ambao ni rahisi kushinda kuliko hata football.
 
Last edited by a moderator:
Umepokea pesa kutoka kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369. Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.

umeonaa eeenh...... hiyo ni set ya halftym baba.....vilareal...sevila..athletic...bristol....panathanaikos na aek athens.... wote wameenda sare halftym...... usikurupuke tu.....
 
Vipi mkeka uko sawa?

Umepokea pesa kutoka kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369. Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.

pole mdau.....hii ni set ya normal kipengele cha halftym...... sasa nani ambaye hajatoka sare halfty
AEK ATHENS
PANATHANIKOS
BRISTOL CITY
VILAREAL
SEVILA
ATHLETIC
nani kashinda halftym!!!!!
 
Umepokea pesa kutoka
kwa M -BET, Kiasi Tsh 123,499, Ada 0. Salio lako jipya ni 228,369.
Kumbukumbu no. CI150130.1141.D02701.

pole mdau.....hii ni set ya normal kipengele cha halftym...... sasa nani
ambaye hajatoka sare halfty
AEK ATHENS
PANATHANIKOS
BRISTOL CITY
VILAREAL
SEVILA
ATHLETIC
nani kashinda halftym!!!!!

hongera sana Mtoto wa nzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom