SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,451
- 1,878
Hii mikeka uwe unaweka kabla sio baada ya kushinda ndio mnaileta huku haina maana yeyote.[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mrudishe Arsenal ujue Wenger hapendi mnavyomnyanyapaa
Sawa Kamanda ngoja nisubiri saa 3 usiku mabomu yaanze kulipuka.Hahahah ... mkuu, Arsenal huwa simbetii ... for known reasons (conflict of interest).
Mkuu samahan naomba unielekeze maana ya over 1.5, 2.5 nk
Wale wa stake kubwa haya kazi kwenu
Over 1,5-goli mbili au zaidi,Mkuu samahan naomba unielekeze maana ya over 1.5, 2.5 nk
Asante, so under 1.5 ni chin ya gol mbili siyo? na vp under 2.5?Over 1,5-goli mbili au zaidi,
Over 2,5-goli tatu au zaidi,
Karibu.
Mhindi ataendelea kutusua tu aiseee[emoji23] Leo mhindi anahonga mapesa andaeni mifuko ya kubebea
hahah sawasawa tunataka ishu za mende kuangusha kabatiPamoja sana mkuu, leo nimecheza mkeka wa timu 18 jana mkeka wa odds 6000 uliharibiwa na vitimu 3 ila mhindi asome alama za nyakati mapema.
Babu hio live naanzaje kuweka mkeke naocheza live?? Wew ungeufata mkeka wa live?? Bettng isia babu fata isia zako tu....Hii mikeka uwe unaweka kabla sio baada ya kushinda ndio mnaileta huku haina maana yeyote.
Kama hukuuweka humu mwanzoni kabla ya mechi hata baada ya mechi uache huko huko.