Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa jamaa kwny ku-withdraw ni shida ... hela imetolewa toka saa saba na robo usiku mpk saiv kimyaa. Yani km unashida na hela ya haraka huku sio kwa kuweka mzigo.

View attachment 622519
Hao jamaa wana mida yao, Ukiitoa pesa usiku ni shida. Juzi niliwithdraw saa 4 asubuhi saa 5 asubuhi ikaingia. Sasa last week niliwithdraw laki 6 saa tano usiku aiseee niliisubiria vibaya mno. Waamue ku improve maana mi ktk option za kubet walishaniteka sina kwengine zaidi yao
 
Wanachelewesha sana ndiyo tatizo lao kuu ila katika option naona wako vyema sana tatizo lao ni hilo.
 
Leo nayO n siku IN GOD WE TRUST

✅Let's try our luck and wait for green ✅✅

*Odds* *12+*

3964 UEFA Europa League
Lyon - Everton
Home 1-3 *1.27*


7537 UEFA Europa League
Lazio - Nice
2-5 Goals *1.28*


2515 UEFA Europa League
Young Boys Bern - FC Dynamo Kiev
2-5 Goals *1.28*


3969 UEFA Europa League
Vitoria Guimaraes - Marseille
2-5 Goals *1.34*


3963 UEFA Europa League
Apollon Limassol FC - Atalanta
Away 1-3 *1.25*


2513 UEFA Europa League
SK Slavia Prague - Villarreal
Away 1-3 *1.28*


3966 UEFA Europa League
Ath. Bilbao - Ostersunds FK
2-5 Goals *1.30*


3965 UEFA Europa League
Hertha BSC - FC Zorya Lugansk
Home 1-3 *1.25*


7534 UEFA Europa League
Basaksehir - Hoffenheim
Away 1-3 *1.25*


7539 UEFA Europa League
Rosenborg BK - FC Zenit St Petersburg
2-6 Goals *1.27*


9362 UEFA Europa League
Arsenal - FK Red Star Belgrade
1X *1.07*

*Europa League would be great*

*booking* *number*
*5TP6LX8*

[11/2, 13:00]
: EPL
R SOCIEDAD - V SKOPJE
TIP: 4-0

[11/2, 13:12] *RISKY*

*VITÓRIA GUIMARÃES - OLYMPIQUE DE MARSEILLE*
TIP: 1 half
Away Win
ODD: 2.50

*FK PARTIZAN - SKËNDERBEU KORÇË*
TIP: 1 half
Home Win
ODD: 2.10

*LAZIO - OGC NICE*
TIP: 1 half
Home Win
ODD: 1.90


*TOTAL ODDS*
>15.00

[11/2, 13:13]
Young Boys 1x

FC Koln 1

FCSB 1x

Zenit P. x2


[11/2, 13:20]
*5.99 ODDS*
Aek ov 1.5
Hoffen..ov 2.5
Salzb ov1.5
Ath bilb ov 2.5
Fc coppenhagen 0v 1.5


[11/2, 13:39]
: EPL
LUDOGORETS - BRAGA
TIP: CS 2-2/2-1

[11/2, 13:39]
EPL
ARSENAL - RS BELGRADE
TIP: 3-1

[11/2, 13:39] : EPL
AEK ATHENS - AC MILAN
TIP: 2-1

[11/2, 13:39]
: EPL
LYON - EVERTON
Tip: 2-1
[11/2, 14:04]

*COMBO*

Qatar League
Al Ahli Doha vs Sadd SC
Tip: 12 & Over 2.5 Goals

Singapore League
Hougang Utd vs Balestier Khalsa
Tip: 12 & Under 4.5 Goals

ALL THE BEST
 
Inasikitisha sana kuona kitu kidogo kinasababisha mtu uanzishe Povu lisilokuwa na maana yeyote. Nadhani ni vema mtu kama una dukuduku ukalisema mara moja kisha watu wa concentrate kwenye kumuwinda muhindi lakini sio kuongea ongea jambo hilo hilo moja utadhani ndio msingi wa hili jukwaa.

Nasema hivi, kuna wakati tujifunze kuheshimu hisia za mtu hata kama sometimes hupendi. Mimi nadhani huna sababu ya kumzuia mtu aliepost bet aliyoshinda humu kwa sababu hajavunja sheria yeyote anaexpress emotions zake hivyo kwa kuwa jukwaa hili ni huru acha afanye hivyo.

Kuna wakati mtu unaweza ukawa unakerwa na post za mtu flani lakini endelea kukereka hivyo hivyo ila hauna mamlaka ya kuzuia asipost anachojisikia labda ungekuwa moderator hapo ungeweza kuzuia hicho kwa kuwa ungekuwa na mamlaka ya kufuta post za muhusika.

Binafsi huwa napenda nifanikiwe na wenzangu kila siku. Nilieleza kilichotokea jana nikashindwa kupost mkeka wangu humu. Lakini nimeshangaa mtu anayetuattack kwa sababu hiyo..... Who are you by the way?? wew ni nani humu jukwaani??? Are you a ruler???

Nasema tena hivi tujifunze kuheshimu hisia za mtu,, that's it! Lengo letu ni moja hapa. Hakuna anayetaka yeye au mwenzake apoteze dhidi ya Kanji. Ikitokea mtu ameshindwa kushea mkeka wake kwa sababu mbali mbali basi isiwe sababu ya mtu kutokwa na Povu hapa. Tunatofautiana hapa wengine wako busy sana wengine wako na ample time mtu anaweza shindwa kupost au akapost late kwa sababu alikua busy sana au hata umeme anapokaa ni wa shida, hivyo tusilete udictator usio na maana humu ndani.

Najua tuna mission moja humu, let's keep the fight. Sio kuleta mipovu ya kina dada humu hatuwezi fika kwa style hiyo.....
 
 
Pokea hii kutoka kwa king
Weka pesa unayoitaka,kesho toa shukrani tu,nami king ni barikiwe na neema



FCSB VS AES POLITIMISOUR =2.5OVER
ATHLETIC CLUB VS OSTERSUNDS =2.5 OVER
VARDA VS REAL SOCIEDAD=2.5OVER
ATLANTA VS APOLLION = 2.5 OVER
N.B weka pesa ya kodi,michango ya sherehe,ada,boom n.k ufanikiwe
 
Hakuna Dikteta yeyote aliye hapa jukwaani tupo humu kwa nia moja na sio ya kuizungumzia kila mmoja anajua tupo kwenye hili jukwaa kwa madhumuni gani, vita yetu haituhusu sisi bali vita yetu tunaipeleka kwenye betting wote tunashambulia kwa mbinu mbalimbali ili tu tupate ushindi, sasa ikitokea leo hii tunakwaruzana sisi kwa sisi ni sawa na kumsaidia adui ambaye tunapambana nae.

Kila mtu ana haki ya kutumia hili jukwaa atakavyo ni kweli hata akiweka mikeka ya 1970 ni haki yake aiweke ila kwetu sisi hiyo mikeka haina maana tena kwetu safari yetu iko mbele sio nyuma, huu ni unafiki ambao bila kuusema utazidi kuwa juu leo hii kuna watu hapa wanategemea watu ili wapate Odds waweke mikeka na wanakuwa na mara nyingine hawaamini katika maamuzi yao kwani sio wote hapa wanaweza kuchambua timu na kuweka pesa sasa watu hao wenye shauku ya ushindi ukiwaletea vipeperushi vyako ambavyo umeshinda utazidi kuwachanganya "bora uweke kabla ya mechi ili ikitokea amefata bahati yako basi iwe kheri kwake ila kuvileta baada ya mechi ile hali mwanzoni hujuviweka ni sawa na unafiki"

Nakumbuka kuna mdau wetu mmoja majuzi kashinda mikeka 3 mfululizo ila hakuiweka hapa kabla ya mpambano aliiweka baada ya kushinda watu waliruka na kusema dhima ya jukwaa ni ushirikiano katika kuhakikisha kila mmoja hapa anapata mwanga kwa wale wasio na mwanga, hapa kuna watu ni wageni hawajui 1.5 over wala 0.5 over watajua vipi kama kila mmoja wetu ataanza kuweka hapa win ticket badala ya kuweka mkeka ili na wao wajifunze kupitia wewe.

Sina wivu na mtu wala kinyongo na mtu ila nakumbuka msemo mmoja wa Kiswahili unasema "Maskini akipata basi matako hulia Mbwata", lazima masikini watapata na matako yao yatalia mbwata kwa kelele za ajabu ila kabla ya kelele unakuta wametulia kimya.

Heko kwa wale wote ambao wanashiriki kuweka hapa mikeka yao ambayo i hai P didy, Koncho hawa wakiwa miongoni mwa wanajukwaa hili ambao wanafurahia maendeleo yao na yetu sote.

Bet Kistaarabu hii ni ajira kwa baadhi ya watu tusiwavuruge.
 
[emoji23] [emoji23] Hadi pesa ya Sherehe mkuu?
 


Kabisa, waki-improve "Withdraw" watakuwa the best.
 
Bankocep vipi leo, nasukumwa kutembea nao....ikiwezekana na winning gang pia!nahitaji Odds 10 katika kila mkeka kwa mikeka mitano ya kuweka stake ya elfu kumi kumi tu.
 
Kabisa, waki-improve "Withdraw" watakuwa the best.
Sure maana mtu usijichanganye uka withdraw pesa Usiku yaani utasubiri mnoo, mi kuna time hadi naamua kuwatumia mail aisee, na kosa lingine walilofanya hawana namba za customer care yani unakomaa na kuemail na kusubiri jibu ktk mail huu ni uzembe wa hali juu kwakwel
 



It's absurd really ... 😡😡
 
Msaada jamani baada ya kipigo cha kiwango cha lami kutoka kwa kanji imebidi niame kutoka mkeka to princes bet nimefanikiwa kufungua acc sasa nilikuwa naomba kuelekezwa jinsi ya kudeposite pesa
 
It's absurd really ... 😡😡
Yeah, they have to improve ktk service zao za kutoa pesa otherwise time will come watu watachoka na wataamua ku switch kwa other service providers (betting company yoyote). Sijui mtu wao wa marketing ana elimu gani na alisomea wapi yaani kampuni kubwa kama hii kukosa number za customer care ni "UZEMBE USIOPIMIKA"
 
Bankocep vipi leo, nasukumwa kutembea nao....ikiwezekana na winning gang pia!nahitaji Odds 10 katika kila mkeka kwa mikeka mitano ya kuweka stake ya elfu kumi kumi tu.


BankoCep leo wametoka hivi Chief ...



 
Msaada jamani baada ya kipigo cha kiwango cha lami kutoka kwa kanji imebidi niame kutoka mkeka to princes bet nimefanikiwa kufungua acc sasa nilikuwa naomba kuelekezwa jinsi ya kudeposite pesa
Menyu ya Mpesa..... Bonyeza 4.....bonyeza 4 tena..... Weka kiasi...... Weka reference no: hii ni namba yako ya simu ila namba mbili za mwanzo unazito mfano 0713 111111 unatoa 07 unaweka 13111111 maisha yanaendelea kwa kuthibitisha na punde salio linaingia.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…