Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Njoo princess bet

Niko huko pia, juz kati walinikera kila nikiweka mkeka nikitaka kulipia napata error "Line #4 is not active" ... wkt unakuta game inaanza baada ya masaa kadhaa. Ni premierbet tu ndo hakuna kero wkt wa kuweka mkeka, yani unaweka ukiwa umerelax. Their only problem ni cash "Withdraw"
 
Ni kweli Maana Mimi huwa some time game za basketball hutokea ivo . Ila nowdays wako Poa
 
labda ww ulivyopost mkeka uliokwisha cheza ulikuwa maana gani??au ulihitaji watu wajue umekula?wakupongeze?
 
wazee kwa wale tuliozaliwa kati ya juni 21 - july 20

leo ni tarehe yetu ya kupiga pesa kupitia kubashiri
leo nyota yetu inatawala wekeni mkeka leo ni sku yetu
 
Ungepata hasara gani ungechangia bila kutoa tusi? Mkuu hatujuani hvyo udada wako usitake niujue na usitake kila mmoja aujue kama wewe ni mpumbavu "unapenda udada basi si vibaya ukaonesha wazi".
Dah! Kwa hili tusi ulilotukana jamaa sijui ata nisemeje yani..... Anyway acha nikae kmy ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…