Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We jamaa hunijui sikujui lkn hamna tatizo asante kwa maoni yako dah
 
Premier wanazingua sana, wacheki hapa ‭+255 62 606 4800‬


Thanks kamanda ... niliwacheck muda flan kwa WhatsApp wanasoma texts zangu lakini hawarespond. Wapuuzi sn nmeamua niwaache watakapojiskia kuniwekea wataweka.
 
Thanks kamanda ... niliwacheck muda flan kwa WhatsApp wanasoma texts zangu lakini hawarespond. Wapuuzi sn nmeamua niwaache watakapojiskia kuniwekea wataweka.

Mimi wameniambia mpaka kesho, muamala wangu haujapelekwa voda. Wanazingua sana.
 
Sportpesa ukibonyeza tu withdraw hapo hapo hela imeingia mpesa
 
Kuna mdau amepokea chake kupitia premier bet siku ya leo maana toka jana naona kimya hadi mda huu.
Cc: Buddy

Raphael wa Ureno
Mimi nimewithdraw saa 3 asubuhi imeingia mida ya saa 8 mchana hivi.

Kwa premier ni vizuri kuwithdraw kuanzia saa 2 asubuhi maana ukiwithdraw usiku sana uwa wanazingua kuingiza Hela sijui tatizo ni nini.

Pia angalia kama umewithdraw fresh tigopesa/Mpesa sometimes kuna kujichanganya na kuwithdraw kwa njia ya Voucher.
 



Ok noted, next time ntasubiri asbh kukuche ndio niwithdraw.
Ila huu ni ukiritimba wa kizamani, mkekabet ni 24/7 unawithdraw na within a minute hela unaipata.

Tuko kwenye dunia ya ushindani, hawawezi wakaendelea na hizi policies za kizamani. They MUST improve on this.
 
Hapo ndo wanapofeli,jaribu kuwacheki kwenye namba yao ya whatsapp watakusaidia.
 
Niliwithdraw mida mibovu baada ya game nikajua asubuhi na mapema napata ya supu.

Nashukuru sana nilikuwa sifahamu hiyo issue.

Ila hadi sasa kimya
 
Hapo ndo wanapofeli,jaribu kuwacheki kwenye namba yao ya whatsapp watakusaidia.



Aah ngoja niendelee kugonga K-Vant yangu hapa na mishkaki nikisubiri game yetu ya EUROPA, wataniwekea tu hata ikipita wiki.
Kesho nitawapigia niwape povu langu kidogo.
 
Aah ngoja niendelee kugonga K-Vant yangu hapa na mishkaki nikisubiri game yetu ya EUROPA, wataniwekea tu hata ikipita wiki.
Kesho nitawapigia niwape povu langu kidogo.
Zile za jana nikawatoa wale wa saudia arabia nikajiongeza na Shaktar nikatoa kitu cha hatari...BET WON
 
Zile za jana nikawatoa wale wa saudia arabia nikajiongeza na Shaktar nikatoa kitu cha hatari...BET WON


Safi sn Chief ... leo fanya hivi

- Basaksehir/Hoffenheim - BTS
- Lazio/Nice - Over 2.5
- Rijeka/A.Vienna - Over 2.5
- Lyon/Everton - Over 1.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…