mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
ni vizuri wakati mwengine tukaangalia vikosimnaombetia arsenal kuna muhimu cha kuzingatia, kumbuka ana game na man city jumapili, na ana point 9, mnaweza kuona kikosi cha maajabukimepangwa na kimeenda kushinda 1-0, au 0-0. kwanza iyo game first half itakua ni under 1.5
Muda mwingine inatakiwa uwe Masikini Jeuri huu mkeka nalala ila nikiamuka nitajua umeleta nini.
Pole sana mzazi. Naona HERTHA BERLIN amelala na hela zakoMuda mwingine inatakiwa uwe Masikini Jeuri huu mkeka nalala ila nikiamuka nitajua umeleta nini.
Hertha na Real S wamenitapeli ila sikuweka dau kubwa sana niliweka buku 2000 ngoja na yeye ale ila kuna siku.Pole sana mzazi. Naona HERTHA BERLIN amelala na hela zako
Unatumia app gani boss?You must be genius man! We kiboko.
bet loseODDS 8 HIZI HAPA
NHL
Los Angeles Kings - Toronto Maple
Leafs
Los Angeles Kings
2.13
NHL
Tampa Bay Lightning - New York
Rangers
Tampa Bay Lightning
1.99
NHL
St. Louis Blues - Philadelphia Flyers
ST. Louis Blues
1.98
Full Time Draw Kwa Siku ya Jana [emoji116][emoji116]
1. AEK Athens v AC Milan
2. Apollon v Atalanta
3. Basaksehir v Hoffenheim
4. Ludogorets v Braga
5. Arsenal* v Crvena
6. FCSB vs H. Beer Sheva
7. Roseburg v Zenit
8. Salzburg v Konyaspor
Ni kama tulivyozoea kukiita kituo cha mafuta Shell(sheli) wakati hilo ni jina la kampuni mojawapo la mafuta. Tunaelewana tukisema kanjiHivi kanji ndo mwenye kampun gan ya kubet maana naona tu huku anazungumziwa? Mwenyewe kufaham aniambie
Hahaha sawa nimekusoma.Ni kama tulivyozoea kukiita kituo cha mafuta Shell(sheli) wakati hilo ni jina la kampuni mojawapo la mafuta. Tunaelewana tukisema kanji
Kanikumbusha option zangu zenye odd ya 1.50 hadi 1.80Tufuate na ushauri wa huyu member.
Ushauri kwa wanao-BET