Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,322
Sure, wachina wakiamua huwa ni shidaa ... I hope leo watalegeza kdg, maana wanaendaga hadi 260pts.
Inaitwaje hii app???
Naona umemaliza kibubu[emoji23]
Yahh yaani hapo Ama zake Ama zanguNaona umemaliza kibubu[emoji23]
Inaitwaje hii app???
Logout af login itakua tayrWakuuu msaada princes betting yangu nikibet inaniambia unsurficent balance, he nimekosea wapi, maana nimeshadeposit buku tatu now
Kwenye account yako upande was kulia chini Kuna customer care pale jaribu kupata msaadaWakuuu msaada princes betting yangu nikibet inaniambia unsurficent balance, he nimekosea wapi, maana nimeshadeposit buku tatu now
Mimi mbona aijawai nitokea ilo tatizo jalibu kuwa pigia kwenye number 0677262222 kama liki tokea tenaYah wako salama pia, ila Princessbet mara utakuta umelog in ila account ya mtu mwingine inaonekana sio yako. Kuna siku nimekuta wamebet bila mimi kubet nikaachana nao hadi sasa.
Inaitwaje hii app???
Bet wonView attachment 623208 basket hiyo wadau,mdogo mdogo ndio mwendo.tia 10000 upate buku sita ya lunch nzuri kabisa
hahaaa...xanteee..matimu mengi yanini nangaiView attachment 623201View attachment 623202
Nyie wa football endeleeni kulia na kanji wadau me huko nimeshakimbiaga siku nyingi mno... Tangu mwezi wa pili baada ya kupigwa kama laki ndani ya siku 4 nipo huku karibuni sana...[emoji776] [emoji774] [emoji775] [emoji772] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Natembea najiamini hapa acheni tu.. kesho alfajiri nba game 12 za uhakika kama 3 au 4 hvi
mimi nliweka saba kati ya hizo!nashukuru kwa kweliFirst Half Draw Kwa Siku ya Jana.
1.Young Boys v D. Kiev
2.Arsenal v Crvena
3.Meccabi Tel Aviv vs Fc Astana
4.Lyon v Everton
5.Ludogorets v Braga
6.Basaksehir v Hoffenheim
7.AEK Athens v AC Milan
8.Athletic Bilbao v Ostersunds
9.FCSB v H. Beer Sheva
10.Guimaraes v Marseille
11.Lazio v Nice
12.Rosenberg v Zenit
13.Salzburg v Konyaspor
Katika gemu zote hizi 13 mtu ukaweka hata 3 au 4 tu ungekuwa na Pesa nzuri ila ndo hivo tena. Kweli kanji sio mtu mzuri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nacheka Co kwa mazur hamna pole bhagavan[emoji109]Ni bora mkeka uchanike kwa timu ya mwisho...game ya kwanza tu halafua ***** zao wanachana...hii safari tutafika linikwa style hii....
Naandika hii comment kwa huzuni sana [emoji22][emoji22][emoji22]
Hilo tatizo liliwahi kujitokeza lakini jamaa walirekebisha system yao, bado naamini hawa princessbet ni kampuni poa sana, issue ya errors , makampuni karibu yote hupata errorsYah wako salama pia, ila Princessbet mara utakuta umelog in ila account ya mtu mwingine inaonekana sio yako. Kuna siku nimekuta wamebet bila mimi kubet nikaachana nao hadi sasa.