Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu Yanga ama Simba wakiwa dar 2+ ni rahisi sana kutokea halafu pia huwa ina odds kubwa 1.40 hadi 1.50
leo najua ungempa yanga au sio? afu kitu sare mpira mpira tu iwe wa hapa au 'yuropu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…