hebu nisaidie ivi bikosport match huwa unazipata wapi?kila nikicheck sioni kituMkuu bado mechi haijaisha nipo ICU hapa hadi waongeze bao la pili
Kampuni ipi wanatoa option hyo mkuutangu nimeanza kubet ni mwezi sasa unakaribia. nimeshaliwa kama 50k nikahisi kukata tamaa nimekuwa nikibadili mbinu kila mikeka ichanikapo. sasa nimekuja na mbinu mpyaa na Jana tu nimeona matunda yake! betting ya under 2.5 half time ni target nzuri sana mikeka wako unakuwa at safe zone 90%! japo wanatoa odds chache inabidi niende hivi hivi naamini nitafika kama wengine
buddy nisaidie meridian kwa pc unatumia browser gn?Yesterday was a very painful story .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Matimu ya mwishoni ndo yanakuja kuharibu shughuli nzr iliyofanywa na wenzao.
View attachment 624477
View attachment 624478
b
buddy nisaidie meridian kwa pc unatumia browser gn?
Mkuu siitumii hiyohebu nisaidie ivi bikosport match huwa unazipata wapi?kila nikicheck sioni kitu
b
buddy nisaidie meridian kwa pc unatumia browser gn?
Wakuu, hii mbinu inamatokeo mazuri. Mwaweza ijaribu ili tuendelee kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.Mambo vipi wazeia!! Kuna mbinu ambayo nafikiri inaweza ikasaidia katika kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.
Mbinu yenyewe ni kwamba, unacheza games kwa kutumia option ya under 2.5 First Half. Mbinu hii inafaa zaidi kwa games ngumu, mfano mzuri ni games za Jana (Europa). Kama sikosei hakuna game ambayo iliweza kutoa magoli zaidi ya mawili ndani ya kipindi cha kwanza.
Udhaifu wa mbinu hii ni kwamba inatoa Odds kiduchu, mfano 1.05, 1.06, 1.08, 1.12, na 1.14. Kwa hiyo itakulazimu ucheze games nyingi ili kupata Odds unazotaka. Changamoto nyingine ya option hii pia ni kwamba, haipatikani katika baadhi ya makampuni ya betting kama vile Mbet na Sportpesa. Aidha, Princessbet wanayo na kampuni zingine nisizozijua kama zipo.
"Life+time"
Ni kweli Mkuu, ni mbinu ambayo inaonesha mwendelezo wa matokeo mazuri. Mwenyewe nimeanza kuitumia toka ijumaa, ngoja tuambae nayo kwanza maana Kanji bila kubadilibadili mbinu hashikiki kirahisi asee!!!.tangu nimeanza kubet ni mwezi sasa unakaribia. nimeshaliwa kama 50k nikahisi kukata tamaa nimekuwa nikibadili mbinu kila mikeka ichanikapo. sasa nimekuja na mbinu mpyaa na Jana tu nimeona matunda yake! betting ya under 2.5 half time ni target nzuri sana mikeka wako unakuwa at safe zone 90%! japo wanatoa odds chache inabidi niende hivi hivi naamini nitafika kama wengine
Princessbet....Kampuni ipi wanatoa option hyo mkuu
Leo navizia vizia tena maana duuuu msimu ulopita nilipigwa ko nyingiUnazali sn mkuu maan vitasa nilivyochezea Jana hapa ni kudra tu za jamaa mmoja aliyetolewa mkeka vibaya na kuukataa nikaulipia buku Leo naenda kuwahi kuturbo unless ilikuwa no more business untill farther capital
premier betKampuni ipi wanatoa option hyo mkuu